Recent content by ntangeki

  1. N

    JamiiForums Tanzania Why Tanzania would not embrace EAC

    The writer, whom I presume is Kenyan, has made a very honest observation as to why Tanzania should be very carefull in moving towards EAC "federation". As it is, Tanzania was the main player when the first EAC was formed and we burnt our fingers in the process. They say, "once bitted, twice...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka: Kwaheri ya kuonana Mzee Madiba

    Prof umenena vema kabisa. Madiba ni mfano wa kuigwa kwa binadamu wote, na sio viongozi tu. Kila mtu analo la kujifunza katika maisha ya Mandela.
  3. N

    JamiiForums Tanzania My friend Zitto Kabwe

    Mzee Dogo, If you do not know who is Right and who is Wrong, then on what base do you judge ZZK "Msaliti"??? Is it that you go by anything Mbowe says??
  4. N

    JamiiForums Tanzania My friend Zitto Kabwe

    Character X, What really makes this decision right while one is being accused of "treason" for being impliedly involved in a campaign strategy. Very ridiculous!!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Prof Baregu: Siungi Mkono Maamuzi juu ya Zitto ila "SULUHU" ni njema

    Ni vema wote tukajua kuwa migogoro ya kisiasa humalizwa kisiasa. Na hili la Mbowe na Zitto litakwisha hivyo hivyo.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Koti la Azam Sembe

    Ndugu yangu nadhani inabidi ujielimishe juu ya majukumu ya msingi ya Rais na viongozi wa ngazi mbali mbali. Siwezi kukulaumu kwa mtazamo wako lakini napenda ujue tu kwamba mtazamo wako ni potofu sana. Jambo alilolifanya Rais hapo ni jambo la kujivunia sana. Sielewi watu wanapozungumzia kukuza...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kafulila na Zitto wanaivuruga NCCR - Moses Machali

    Zitto ni bora sana kuliko wanasiasa wengi na hata wachangiaji wengi sana humu JF. Propaganda hizi naona zinatokana na wanasiasa wasiokuwa na vision na wanamuona Zitto kama threat kwa future dreamz zao ndio maana wanaamua kumpaka matope. waingereze wanasema, "You can not strengthen the weak by...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kafulila na Zitto wanaivuruga NCCR - Moses Machali

    Mbatia haonekani kama mwanasiasa bali mganga njaa tu, hivyo akiondolewa kwa maslahi ya growth ya chama sioni tatizo hata kidogo. Na hata kama Zitto anataka kugombea Urais sioni tatizo pia. Tatizo ni wale wenye mawazo mgando ambao hawaijui demokrasia vizuri bali wanaendekeza ushabiki wa siasa tu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Bank M Kukusanya Kodi kwa niaba ya TRA - Wao wanapata nini?

    Kwa Mwanakijiji na wengine wenye mawazo kama yake. Kwanza ni vizuri kutofautisha habari za kisiasa na za kibiashara. Hii thread ni ya kibiashara zaidi na sio siasa. Pili; Suala la kukusanya kosi linasimamiwa na TRA lakini benki ndizo zenye miundombinu ya kukusanyia pesa na sio TRA, ni vizuri...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete's Call On African Leadership; Said Africa needs strong & visionaty leaders...

    Nice strategy for our future!!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wilson Mukama: Public and Private Profile

    Wewe una chuki binafsi......huna jipya lolote
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nyumbani Lounge kwa JayDee huduma kwa mteja hairidhishi

    Hata mimi nimeenda pale leo mchana. Huduma very poor!!!!!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Uelewa wako wa biblia ni mdogo sana.....nenda kasome vizuri miujiza ya Yesu na utaona masharti aliyokuwa akiwapa watu. Usiwe unakurupuka.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)

    Mimi naona kuna watu wanataka kutumia historia kuendeleza ajenda zao za siri hapa. Naamini kabisa hawa WAISLAMU kama akina Abdulwahid Sykes na wenzake wengi walikuwa na uchungu wa kweli wa kutaka UHURU, na hawakuwa wakipigania uhuru wa WAISLAMU bali uhuru wa TAnganyika yote. Ndio maana hata...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Mh. Zitto pole sana kwa kuuguliwa na Mama yako. Natumai Mungu atampa afya njema karibuni. Nasikitika tu kuona watu wengine wanachukulia suala la kuuguza kama mzaha tu la kini wanasahau huwezi kuwa kiongozi bora unayewajali watu wako kama unashindwa kuwajali watu wa karibu na wewe kama mama yako...
Back
Top Bottom