Recent content by Nswima John Edward

  1. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Business ideas (Bure)

    Nitafute 0682 486 499 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi hasa kada ya uwalimu wako "desperated "

    Utawabishia hata ambao wako kwenye field..... Kazi kweli.... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi hasa kada ya uwalimu wako "desperated "

    Sisi waalimu Tunajua what we are doing..... Just wait.... Pengine matokeo ya baba Jeska yanakuja very soon.... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    Hawa wanaopokea sanamu za Maria, siyo rahisi kwani sababu kwenye misale ya waumini Hakuna hicho kitu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    Sijui kubishana lakini, Yule mama aliposema limebarikiwa tumbo lililokubeba na maziwa uliyonyonya Yesu Alisema wamebarikiwa wale wasikiao na kutenda neno la Mungu. Angalau basi angesema wamebarikiwa wale wanaomwabudu bikira Maria.... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    Ungewaambia anaesikia Mapambo na kuyajibu ni YESU KRISTO peke yake.... Waambie wasome Mathayo 11:28-30 ukisikia Imani potofu ni kuamini kuwa Maria aliyekufa abaweza sikia, kupokea Maombi na kuyajibu...... Huko ni kuabudu sanamu.... Waambie wasome Kumb la Torati 5:8-10 Sent using Jamii Forums...
  8. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    Afadhali umemtolea Uvivu.... Nilikuwa namvutia kasi.... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Sio siri watumishi wameshuka moyo

    Nimesoma michango yenu... Bahati mbaya wachache sana wamejibu hoja. Kwa taaluma, mm ni Mwl, ukweli ni kwamba watu wanakwenda kazini na kuondoka.... Tena wanaondoka mapema kabla ya muda wa kazi kuisha. Kuna kitu nimekigundua kwenye mada nyingi ambazo zinagusa maslahi ya watumishi, wananchi...
  10. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka apangiwe vipindi afundishe sekondari

    Ukute aliacha ualimu akaenda kwa siasa.. ... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!

    Duuuuuuu.... Kweli Chelsea inawafanya msilale..... Tunashinda EPL tena nyie jipangeni kuanzia namba 2 huko. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!

    Mkuu unachuki na Chelsea sio kingine... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuendelea na ajira ya ualimu serikalini nimeacha kazi

    Kama kweli umeacha, Hongera sana. To work under someone had never made anyone free... Do your work and make your body tired for your own benefit..... Once again congratulations.... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania New public letter to President Dr. J.P. Magufuli

    Nimesoma na kuelewa vyema kabisa, hofu yangu baba Jeska ataelewa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Nswima John Edward

    JamiiForums Tanzania Nafikiria Kujenga Nyumba Yenye Sketch Hii, Naomba Ushauri Wako

    Very poor design hata Haiwezekani kurekebishwa ...... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom