Recent content by nshomilewaitu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Diamond kanukisha London, Historia imeachwa London

    Ndio maana kashindwa kutoa kichupa chake anasingizia vurugu sauz wakati godfather na moe musa walikua bongo kashindwa kutumia hiyo nafasi ,atasubiri sanaa na hao makampeni meneja wake wa ktma.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa kukaangwa kama Yesu!

    Huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono.
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana acheni chipsi yai: Kula dona dagaa ujenge heshima kitandani

    Ww umejuaje kama haijakutokea ?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ITV wanapenda kuripoti habari za migogoro zaidi ya za maendeleo?

    Ndio zinazowapa u-superbrand kila mwaka.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Diamond kanukisha London, Historia imeachwa London

    Wapi ali kiba.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Huyu bibi CCM damu damu

    Bibi ako?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Mbona picha inaonyesha anafunga zipu na wasionyeshe picha za anakula mzigo live yupo juu ya kifua? Au ndo ule usemi wetu " ukishaona manyoya ujue kashaliwa".
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ikiwa picha hii ni ya kweli, Nyalandu lazima ajiuzulu

    Na hao mashuhuda wAnapiga makofii watanzania bana kwa makofi na ndiioooooo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Baba na Mwana:Masuperstar wakiwa na Baba zao.

    Hapo nimemfahamu lil lomeo na baba ake mwenye kitamba kichwani cha marekam.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada. Jamani kuota nywele sehemu hizi...

    Nenda salun kashevu.
  11. N

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Wasije wakavunjwa wakashindwa kucheza fainal na juve.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Dar: Watu wajihifadhi kituo cha mabasi yaendayo kasi Jangwani

    Jf rahaa sana inaondoa stress ha ha ×10000
  13. N

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu anaandaliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Taifa

    Wewe hata std 7 huna.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu anaandaliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Taifa

    Mwenyekiti lazima awe mangi
Back
Top Bottom