Wengi naona mnamtetea binti amuache amuache lkn ukweli hakuna mlezi/ mzazi anapenda kuona mwanae/mtu anaemlea anaharibikiwa apo anataka kumsaidia kwa ajili ya future yake sa mkisema amuache cku akiharibikiwa lawama zitarudi kwake
Mkuu msaidie huyo dada kumwonyesha maisha yanaendaje cku...
My friend aliwahi kunishirikisha tena yeye alianza mdogo na hakutaka kuwa na boyfriend zaidi ni porn na baadae nyeto na kila akijitahidi kuacha anajikuta baada ya mda karudia lkn aliponishirikisha nikamwambia ajitahidi kuwa busy na kusali sana kila anapoona hilo liroho linamuijia asali na...
Mmmh ukipenda mtu hutojali anamimba au laah kwan kama utashindwa kumjali wakat wa shida utamjali wakat gani? Watz matter unampenda,anyway fanya maamuzi magumu ila ucpende kutumia sana ushauri wa humu ndani.
Ni kweli wasukuma wako poa sana nakubaliana na ww asilimia 95 ila co wote izo asilimia 5 wanamatatizo alaf mpate alielelewa kwenye maadili ya Sundayschool na ameshika dini utakua kama malikia.
Hahahaha msipende kuwekeza sana kwa wadada kwani huwa hawaridhiki hata ukiwanunulia dunia ataona hujafanya lolote, find a woman who loves u and not u love maisha yatakua poa lkn pia unaweza kukeep busy usijihusishe nao but plz ucnunue dadapoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.