Wachagga wana utaratibu wao, mila na desturi.
Kila jambo lina utaratibu wa kulitekeleza
kuhusu kufanyia vikao vya mipango ya mazishi bar, huo ni utaratibu wa wachagga na huwa wanafanikisha shughuli zao vizuri.
Sasa huyu bwana anataka vikao vifanyikie sehemu tulivu, unataka tukafanyie...
Hebu kaa naye mkubaliane vizuri.
Hilo ni tatizo kidogo sana na huhitaji kupoteza muda wako wa masomo
Kwa kuwa ni mtu wa makamu atakuelewa
Au pengine anahitaji (kee money) na kama ni kee money hiyo inajulikana lakini dalali alitakiwa kukueleza mapema ukizingatia kuwa wewe ni mwanafunzi na...
samahani sana
Nina shida ya uelewa kwenye jambo fulani.
Nina imani kwa kupitia kwenye hili jukwaa letu tukufu. Ambalo limesheheni mitazamo iliyo na upeo wa kutosha, ninaweza nikapata ufumbuzi.
Kwa sasa wataalam wanasema kuwa uchumi wa china unakaribia kuifikia nchi ya marekani. Na...
pole sana kwa kero unayopata kutoka Aljazeera kama ni kweli unatumia Dstv ambayo inazo channel nyingi ambazo unaweza kuichagua inayokupendeza sioni ni kwa nini uendelee kuteseka kwa kung'ang'ania Aljazeera ambayo huipendi. au DSTV inashika Aljazeera peke yake? mbona inaonesha kama ndiyo channel...
mkuu niko hapa mto wami na nimefika hapa kwa kazi maalumu ya kukuongezea umri na hapa magari ni mengi sana ya kila aina na hapa yanapita taratibu sana kwa hiyo usijali wewe subiria na ujiandae na mbavu kuna hilo limeandikwa [MOTO HAULAMBWI] lingine limeandikwa[MTALAKA HATONGOZWI] lingine hilo...
tatizo kubwa huwa mara nyingi tunashindwa hata kabla hatujaanza
kupanda mlima inawezekana
ila kuna changamoto zake
kwanza uwe na afya njema
pili ufanye maandalizi ni pamoja na kufanya mazoezi
uwe na mavazi maalumu ya kupanda mlima
uwe na gharama zinazohitajika
uwe na MUDA
Ndugu...
Nimefurahia sana hii thread. Kusema kweli mlima Kilimanjaro ni kivutio kikubwa kupita vyote tanzania. Mimi nimebahatika kufika kileleleni kupitia marangu. Niwaeleze kwa kifupi kuhusu vituo unavyopitia kwa kuanzia mlango wa kupandia kule marangu.
kutoka marangu unaenda mandara. Km 8 kwa...
kama unaishi arusha na unayo dhamana kuna saccos inaitwa WANAMA SACCOS LTD ofisi zao ziko jengo la MEGA COMPELEX mtaa wa BONDENI
wanatoa mkopo wa hadi 20,000,000 kitu muhimu wanachoangalia ni security ya mkopo[dhamana] kama document zako zikiwa vizuri unapata mkopo ndani ya saa 3
utaratibu...
Malaysia:Ndege ilianguka baharini
Waziri mkuu wa Malaysia Najib Razak
Shirika la ndege la Malaysia limewaambia jamaa na familia za abiria waliokuwa wanasafiri kwa ndege iliyotoweka MH370 kwamba ndege hiyo imepotea na kwamba hakuna manusura.
Tangazo hilo limetolewa kwa familia hizo kwa njia ya...
Malaysia:Ndege ilianguka baharini
Imebadilishwa: 24 Machi, 2014 - Saa 14:51 GMT
Facebook
Twitter
Google+
Tuma kwa rafiki yako
Chapisha
Waziri mkuu wa Malaysia Najib Razak
Shirika la ndege la Malaysia limewaambia jamaa na familia za abiria waliokuwa wanasafiri kwa ndege iliyotoweka...
mkuu kuna habari nyingine umechanganya kilugha. Na kwa bahati mbaya sana lugha uliyotumia iwe ni ya kinyumbani, kwa kiswahili ina maana ambayo inaleta ukakasi, mpaka inaharibu ujumbe wako. Lakini kwa ushauri wa bure ungetumia kiswahili ungeeleweka vizuri. au umeandika kimakosa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.