Recent content by NSENENE KATIKOMILE

  1. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    hatua no 4x( afirisiwe mali zake zote)
  2. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

    Now clouds bas mmenifanya nianze kulala saa nne kamili nkiwafukuza na akuna sharfi dauda pamoja na maestro ndo kwanza saa tatu kamili nalala .au mzimu wa mwanadada jadee umeanza kufanya kazi. Me mgen
  3. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Revocatus Babeiya: Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Missenye na Mwalimu wa Shule ya Serikali!

    Hii serikali yetu ni ma,,,,,,,,,,,+@............ko haiwezekan unawabania wengine na unawaachia wengine
  4. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mbowe Wachana na Hizi Tunza Heshima Yako Jiuzulu Tu! Waachie Wengine Uongozi Imetosha!!

    Muda mbona ni mrefu sana tokea 2005 je huyo zitto alikuwa wapi muda wote hadi anakuja kutoa hzo pumba dc tyme .jaman yatupasa tuwe wafikiliaji jaman watanzania
  5. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Zitto kwa Kamati Kuu: Mashitaka yote sio ya kweli na sijavunja Katiba

    Pengine maneno ya mtu yanaweza kudhihilisha kupima hisa ya akili yake yakupasa uwe mwelimishaji na sio mtukanaji maneno kama mburura co mahala pake hapa tumia busara kumwelimisha mtu. Alaaaaah
  6. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Zitto kwa Kamati Kuu: Mashitaka yote sio ya kweli na sijavunja Katiba

    Chadema bwana ukimwaga mboga sie twamwaga ugali wala hata hatuangalii ni vp mtu ana comfidence mbele za watu kama zitto kafanya usaliti ndani ya chama tunapiga chini bora kukaa na watu wachache kuliko kuwa na wengi wenye maneno mazur ya kujitetea wakti wao ndo wauaji wa chama. M4c for rever
  7. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

    Ww wamachame wanaongoza kwanza kwa kuwateka wanaume na yaan wanapenda sana mambo ya kupuliza mungu niepushe na hao watu:
  8. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Petition: Wito wa kusitisha tozo/kodi ya laini ya simu kila mwezi kufuatia mabadiliko ya sheria

    Wale wote wanaokubaliana na hzo kodi watakuwa wamekumbatiwa na vigogo uwezi kumtoza mtu 1000kila mwezi wakat analipwa mshahara wa shiling 1500 kwa siku na kuna watu wengne wanatumia vocha ya sh1000 kwa mwez je hv hzo ela wanazopata tcra wanashindwa kulipia kodi za lain zote mbona wanapata ela...
  9. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa CHADEMA amepoteza Maisha kwenye Mlipuko wa Bomu Arusha

    Kwel wameamua kutumaliza huo ni udiwan je 2014 tutapona jaman nyie Chukua Chako Mapema. Mtatumaliza
  10. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    Jana tumeambiwa ndan ya dakika 30 star tv itakua hewan bt had sasa hakuna jipya zaid ya no signal kwa hapa mwanza y
  11. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    Hawajarud mwanza
  12. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    Haya majanga kwel maana zle.local channel zote zikimiliki dekoda zao binafc kama walivyo star tv na continental yao je watanzania tutanunua dekoda ngapi
  13. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Vunjambavu Vunjambavu Vunjambavu

    Da bas hyo kali japokua ni biashara maana cku hz wanatuchakachua had mitandaon
  14. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Leticia Nyerere (CHADEMA): Mitandao ya kijamii inatumika kutukana viongozi, wahusika wakamatwe!

    Ikiwa hata wao wanapeana makavu wenyewe kwa wenyewe kisa hawatumii majina yao.
  15. NSENENE KATIKOMILE

    JamiiForums Tanzania Vunjambavu Vunjambavu Vunjambavu

    Mmmmmmm
Back
Top Bottom