activemedia africa
Senior Member
- May 28, 2013
- 141
- 26
Jamaa kaweka sahani mezani ile anataka kuanza kula tu mlango ukabishwa. Ikabidi aiweke sahani chini ya kochi akafungua mlango. Mgeni: Mbona kwenye kiti panatoka moshi? Jamaa: Aah! Si unajuwa mijipanya ya huku kila saa inavuta bangi tu.... Tuma "VUNJAMBAVU" Kwenda "15561" UCheke zaidi. (Vodacom na Tigo)