Mbowe is next level, pale jangwani alimwambia shibuda yeye Mbowe yupo ktk siasa za upinzani zaidi ya miaka 20 sasa, ambayo sasa matunda yake yameanza kuonekana watanzania kuiamini chadema, so akiwa kama M/Kiti hatoruhusu kirusi ama mamluki yeyote haivuruge chadema, mwacheni shibuda achezee moto"...