Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,731
- 749
Lowassa ndio kiboko yenu nyie, ndio maana hofu limewajaa, mkwe wake kushindwa haihusiani kabisa, nikuulize,wewe dada yako akiposwa na wewe unavishwa pete?
Lowasa tulimtandika Arumeru Mashariki, si alipanda jukwaani kuinadi CCM na yule Mkwe wake Sioi au hukufuatilia, tukambugiza. au kuna Lowasa mwingine. Alikuwa anazomewa njia Nzima kuanzia alivyokanyaga Jimbo la arusha mjini hadi Arumeru kwenda na Kurudi! Wala hakuna mtu tunayaemhofu kutoka CCM, mleteni yoyote, ilimradi anakuja na chama chakavu CCM, atakiona cha moto.