Recent content by nronga

  1. N

    John Mnyika amuita Rais Kikwete dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge

    MNYIKA OUT...je ni kumbomoa au kumjenga..?
  2. N

    Kura za maoni CCM Arumeru kurudiwa

    Source Nape..! uchaguzi kurudiwa kati ya SIOI SUMARI NA william sarakikya.....msimamizi atakuwa msekwa.!
  3. N

    Germany president resigns over finances scandals

    RAIS WA UJERUMANI MH. CHRISTIAN WULFF. AMEJIUZULU. source BBC
  4. N

    Dr Marina a Njelekela..maliza ''honeymoon''

    .sasa hali ni mbaya muhi2. Mabingwa nao wamegoma, wagonjwa wanafukuzwa wodini.. kuna jambo sijalielewa.. DR MARINA NJELEKELA MKURUGENZI MKUU MUHIMBILI yuko wapi..! sijamsikia toka mgogoro huu uanze.! au ametangulia KUJIUZULU.?? au yuko HONEYMOON.??
  5. N

    Mengi in "The 20 Most Powerful People In African Business"

    Unaweza kuwa na hela lakini una influence kwenye society au business community, nadhani umeelewa
  6. N

    Mengi in "The 20 Most Powerful People In African Business"

    Ndugu zangu watanzania tunabidi tujivunie maendeleo ya mtanzania mwenzetu Mr. R Mengi, list iliyotolewa na Forbes ya " The 20 most powerful people In African business man". Mr Mengi ni mtanzania aneyetutoa na kuipa Tanzania sifa nzuri, sio kila saa tunaongela habari za mafisadi. NOTE: Watu 20...
  7. N

    GE2010 USHAHIDI: Media za Tanzania zimenunuliwa na CCM kumhujumu SLAA

    EATV channel 5 & EA radio Je? unawaweka upande gani? sababu nimeona campaign yao ya kuhamasisha vijana kupiga kura
  8. N

    GE2010 JF's Maxence LIVE on EATV "Uchaguzi Express Live"

    Kinarudiwa kesho jumanne saa nane kamili mchana na kama ukikosa jumapili saa sita na nusu mchana
  9. N

    GE2010 Uchaguzi express live tv show ndani ya eatv

    East Africa Television (EATV), itazindua kipindi kipya cha uchaguzi kiitwacho Uchaguzi Express leo Jumatatu ya tarehe 06/ 09/ 2010 saa tatu kamili usiku. Kipindi hicho kitakachokuwa kikirushwa hewani moja kwa moja yaani live siku ya Jumatatu na Alhamisi, na kituo hicho namba moja kwa vijana...
  10. N

    GE2010 Hali ngumu CCM nyanda za juu kusini

    Nimewaambia rafiki zangu mara nyingi strength ya CCM inatokana na ignorance ya watanzania
  11. N

    Most Creative TV station in Tanzania

    Wadau naomba kuuliza Local TV channel gani hapa nyumbani Tanzania inakusisimua na kazi zao ( creativity )?
  12. N

    Ze Comedy wapya EATV...

    Mzee umekosea tarehe ya kufanya mchakato sio tarehe 8 bali ni 11/02/2010 kuanzia saa tatu asubuhi pale New World Cinema Mwenge
  13. N

    New EA TV Theme Music

    We Are The Youth Of The Nation
  14. N

    New EA TV Theme Music

    We Are The Youth Of The Nation
Back
Top Bottom