Elections 2010 Hali ngumu CCM nyanda za juu kusini

HIMO ONE

Senior Member
Sep 6, 2010
128
7
JINAMIZI la uchakachuaji wa matokeo ya kura za maoni pamoja na migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini jana liliipa CCM mtihani mgumu baada ya wananchi katika maeneo tofauti kumzomea mgombea na katika eneo jingine kumpa wakati mgumu mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete
 
Zile kadi za chadema feki ambazo ccm walichakachua zimefikia wapi?..........watachakachua sana mwaka huu tunakula nao sahani moja japo wanaendelea kuwarubuni ndugu zetu huko vijijivi kwa kuwanunulia pilau.....kwa kuwa mimi ni mfanyakazi na kikwete hataki kura yangu na maisha magumu ya ndugu zangu yamesababishwa na kikwete.nimewaambia wale tu hizo pilau na pombe za kienyeji lakini kura zao kwa chadema.........
Tupo pamoja
 
Mkuu matatizo ya nchi hii ni zaidi ya CCM...hata tukibadili chama bado watu walioshika nafasi za utendaji na za maamuzi ni wale wale na mifumo ndio inafanya life kuwa tafu zaid...yawezekana CCM wamechangia kwa kiasi fulani lakini tukijitazama sisi Mmoja mmoja utakuta matatizo tunayo ndani yetu mfano Rushwa haihitaji mtu awe CCM, au kupandisha bidhaa kiholela haitokani na chama bali mtu binafsi na tamaa zake...tumefanya haya mambo kuwa utamaduni wetu...tukibadili mienendo yetu basi mifumo itabadilika na hivyo viongozi nao watabadilika na kurudi kwenye mstari...tukitazama matatizo yetu yote kuwa chanzo zhake ni CCM basi hatutayatatua kamwe coz CCM ikirudi madarakani tutakata tamaa kwa kuhisi matatizo yetu hayatapewa suluhisho wakati tuna uwezo wa kutatua baadhi ya mambo sisi wenyewe.
 
CCM itarajie mweleka wa kufa mtu pale jimbo la Mbeya Mjini.
Imevihadaa vyama vya upinzani uchwara vuikiongozwa na CUF eti wawe against CHADEMA.
SUGU anakubalika na hakika kura zetu zote vijana wa MBEYA ni kwake.
 
Nikimuwaza tendwa na mazingaombwe atakayo kuna nayo najisikia kizunguzungu
 
Ngoja tuone saa sita ndio hii sijui keshaanza kikao chake au ,wadau tujuzeni,maana nasikia alikuwa ikulu recently
 
JINAMIZI la uchakachuaji wa matokeo ya kura za maoni pamoja na migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini jana liliipa CCM mtihani mgumu baada ya wananchi katika maeneo tofauti kumzomea mgombea na katika eneo jingine kumpa wakati mgumu mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete

...Hata kama mimi si shabiki wa JK na CCM yake, hi habari imekaa kimipasho kweli kweli....!
 
zungu la unga wewe ndio ujipe moyo sisi kila kitu ki wazi na twaona bila shaka,kwa taarifa yako wewe na ccm hata mjipe mioyo na midomo mwaka huu ímekula kwenu mazima
 
JINAMIZI la uchakachuaji wa matokeo ya kura za maoni pamoja na migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini jana liliipa CCM mtihani mgumu baada ya wananchi katika maeneo tofauti kumzomea mgombea na katika eneo jingine kumpa wakati mgumu mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete

Hilo sio jinamizi wala mtihani mgumu ni haki ya mwananchi kumweleza Rais wao matatizo yao. Huo ndio utawala bora.
 
zungu la unga wewe ndio ujipe moyo sisi kila kitu ki wazi na twaona bila shaka,kwa taarifa yako wewe na ccm hata mjipe mioyo na midomo mwaka huu ímekula kwenu mazima
.

Nina mashaka sana kama nchi yetu itakuja kuongozwa na chama cha upinzani badala ya CCM. mashaka haya yanatokana na mbinu zinazotumiwa na upinzani kwamba wakiwashambulia CCM na viongozi wake badala ya kutoa sera mbadala ndio njia bora kabisa kabisa ya kupata ushindi. Kwanza nilidhani wao watakuja na sera ya namna ya kutatua matatizo ya wananchi na utekelezaji wa sera hizo. Ni maoni yangu tu.
 
Nimewaambia rafiki zangu mara nyingi strength ya CCM inatokana na ignorance ya watanzania
 
Today 10:46 AM #1
HIMO ONE
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-offline.png

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join Date Mon Sep 2010 Posts 1
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power 0
 
Mkuu matatizo ya nchi hii ni zaidi ya CCM...hata tukibadili chama bado watu walioshika nafasi za utendaji na za maamuzi ni wale wale na mifumo ndio inafanya life kuwa tafu zaid...yawezekana CCM wamechangia kwa kiasi fulani lakini tukijitazama sisi Mmoja mmoja utakuta matatizo tunayo ndani yetu mfano Rushwa haihitaji mtu awe CCM, au kupandisha bidhaa kiholela haitokani na chama bali mtu binafsi na tamaa zake...tumefanya haya mambo kuwa utamaduni wetu...tukibadili mienendo yetu basi mifumo itabadilika na hivyo viongozi nao watabadilika na kurudi kwenye mstari...tukitazama matatizo yetu yote kuwa chanzo zhake ni CCM basi hatutayatatua kamwe coz CCM ikirudi madarakani tutakata tamaa kwa kuhisi matatizo yetu hayatapewa suluhisho wakati tuna uwezo wa kutatua baadhi ya mambo sisi wenyewe.

Unachosema ni ukweli usiopingika. Kunyosheana vidole sio suluhisho la matatizo yetu. Ufisadi na mambo mengine yanayofanana na hayo yapo katika "individual level", mfano baba anayeweza ku "spend" pesa kila siku kwa bia huku akiicha familia yake ikilalia maharage, na wakati mwingine akilala na machangudoa na vimada huku akimnyima mke wake haki yake ya ndoa na hata kumletea maradhi ya ngono (magonjwa ya zinaa), huyo sio FISADI na mwuuaji? TUBADILIKE.Tanzania itajengwa na wenye moyo wa UZALENDO na sio LAWAMA.
 
.

Nina mashaka sana kama nchi yetu itakuja kuongozwa na chama cha upinzani badala ya CCM. mashaka haya yanatokana na mbinu zinazotumiwa na upinzani kwamba wakiwashambulia CCM na viongozi wake badala ya kutoa sera mbadala ndio njia bora kabisa kabisa ya kupata ushindi. Kwanza nilidhani wao watakuja na sera ya namna ya kutatua matatizo ya wananchi na utekelezaji wa sera hizo. Ni maoni yangu tu.

Mkuu ondoa wasiwasi kwa sababu, hiyo mbinu inatumiwa na CCM pia. Tena sikiliza sera harafu soma news uone mkuu. Hakuna kitu kinachouzi kama magazeti yetu. Badala ya kueleza sera za vyama vyote yanaweka zile habari za tuhuma, why? sababu watanzania wameandaliwa siku nyingi kuwa wasomaji wa magazeti ya udaku na siyo watu wakujisomea na kutafakari kwa hiyo wenye magazeti hawawezi kuuza wakijaza zile habari za maana. Jukumu linabaki kwa wagombea kuwafikia watu ujumbe/sera.

Leo ukiiangalia watu wanaoweza kusoma vitabu/hata majarida page mbili ni wakuhesabu. Angalia hata kwenye dala dala huwezi kusoma kitu, hata ukiwa unasafiri muda mrefu its really crazy.

Acha twende hivyo hivyo, ila ipo siku kuna kichaa mmoja akiingia hapo magogoni atawatoa uvivu watanzania. Mmojawapo ni mimi hapa. Wengi wa Watanzania wavivu aise.
 
JINAMIZI la uchakachuaji wa matokeo ya kura za maoni pamoja na migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini jana liliipa CCM mtihani mgumu baada ya wananchi katika maeneo tofauti kumzomea mgombea na katika eneo jingine kumpa wakati mgumu mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete

Hivi unaelewa mikoa gani iko nyanda za juu?
 
Yeah CCM wana Pesa they watashinda... lakini ni mpaka lini watatembeza Pesa Kushinda? Angalia Kenya na Viongozi wa KANU one mistake the END of Kanu... angalia Maamuzi ya CCM ni Central Comittee... well mwaka huu ndio wananchi wameona ubovu wake how about 2015 hakuna mtu wa kumrithi Kikwete... nina maana hakuna anaeleweka kama miaka iliyopita... tatizo ni wakati wa kumuweka rais mkristo au ni wakati wa Zanzibar kuwa na Rais wa Muungano? na ni yupi atakaye kubalika kote? hayo ni matatizo well kura za haki zitakomoa CCM executives...

Wait and See... hao watangazaji kina Tido Mhando watakimbilia Rwanda?
 
Ni lazima maovu ya CCM yaanikwe ili watu wajue kuwa hakifai, ili wapate sababu ya kukiacha chama hiki kinachokumbatia mafisadi. Wananchi wana haki ya kujua uchafu wa CCM ili wafanye uchaguzi uliokwenda shule!
 
Back
Top Bottom