Recent content by Nowaka

  1. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni msambazaji wa bidhaa mbalimbali? Karibu tufanye biashara

    Na supply mchele pia na deal na kusupply vifaa vya michezo, vifaa vya maabara, na vitabu pia. Karibuni sana
  2. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Hatimaye wananchi wa jiji la Mbeya wametambua John Pombe Magufuli ndio rais wa nchi

    Ilikuwa kituko sana kuona jiji la Mbeya ambako wajanja kibao wanatokea huko, waliamua kumtunuku cheo cha Rais msanii wa muziki ambaye ni mbunge wa jiji hilo ndugu Joseph Mbilinyi. Sugu alikuwa Rais wa Mbeya ambaye hana hata msaada wowote kwa wananchi zaidi zaidi ya kuwachonganisha wananchi na...
  3. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar: Masauni amelewa Pombe gani?

    Simple fact, Mahakama kuu ya Zanzibar pamoja na Mahakama kuu ya Tz Bara, zote zina concurrent jurisdiction. kosa walilofanya hao Mashekhe ni kosa linalogusa muungano moja kwa moja, na ndio maana wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka Mahakama kuu ya Tz bara. Hoja ya kusema ati kosa limefanyika...
  4. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Walibya waandamana kupinga uingiliaji wa Ufaransa

    Nimekupata mkuu shukrani
  5. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Walibya waandamana kupinga uingiliaji wa Ufaransa

    Mkuu huyu Generali khalifa Haftar je anamtambua mtoto wa Gadafi, na wakati wa utawala wa Gadafi alikuwa na cheo gani?
  6. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Walibya waandamana kupinga uingiliaji wa Ufaransa

    Naomba kujuzwa undani wake huyu khalifa, ni nani haswa na ametokea wapi je wakati wa utawala wa Gadafi alikuwa na nafasi gani?
  7. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Moja ya sifa za kiongozi ni kuwa mnyenyekevu

    Kuna baadhi ya viongozi wanataka kuwa Miungu watu, yaani kwa kuwa wana uongozi fulani, basi wanataka kunyenyekewa na kuongopwa kana kwamba wao ni Miungu vile. Moja ya sifa za uongozi ni kuwa mnyenyekevu kwa watu unaowaongoza, sasa inashangaza sana viongozi wengine tena ni vijana, wanapokuwa na...
  8. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Kiburi kinachelewesha maendeleo jiji la Mbeya

    Umenena mkuu wewe umenielewa vizuri sana na umemaliza kabisa
  9. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Kiburi kinachelewesha maendeleo jiji la Mbeya

    Kujipendekeza kupi huko unakozungumzia wewe?
  10. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Kiburi kinachelewesha maendeleo jiji la Mbeya

    Kuwa mbunge ni suala moja na kuwa mbunge mwenye ushawishi wa kupeleka miradi ya maendeleo jimboni kwako ni suala lingine mkuu
  11. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Kiburi kinachelewesha maendeleo jiji la Mbeya

    Siku zote lazima ujue kula na kipofu mkuu, kama wananchi wa jiji la Mbeya watakuwa hawajui kula na kipofu, maendeleo ya kiuchumi watayasikia kwingine.
  12. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Kiburi kinachelewesha maendeleo jiji la Mbeya

    Pole sana
  13. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Kiburi kinachelewesha maendeleo jiji la Mbeya

    Pole sana, hayo maendeleo yatakuja vipi yenyewe pasipo ushirikiano wa viongozi na wananchi? Amka mkuu
  14. Nowaka

    JamiiForums Tanzania Kiburi kinachelewesha maendeleo jiji la Mbeya

    Kiburi mkuu ni kutokutii mamlaka pamoja na kutoheshimu mamlaka za viongozi hasa wa kitaifa, hii inaleta pengo la viongozi kukosa ushirikiano na wananchi katika kufanya kazi za maendeleo, ingawa kwa kiasi fulani wananchi wameanza kuamka, na wamegundua hii biashara wanayofanya inawakata sana...
Back
Top Bottom