Nowaka
Member
- Apr 5, 2019
- 20
- 13
Ilikuwa kituko sana kuona jiji la Mbeya ambako wajanja kibao wanatokea huko, waliamua kumtunuku cheo cha Rais msanii wa muziki ambaye ni mbunge wa jiji hilo ndugu Joseph Mbilinyi.
Sugu alikuwa Rais wa Mbeya ambaye hana hata msaada wowote kwa wananchi zaidi zaidi ya kuwachonganisha wananchi na serikali yao.
Sasa Rais wa Mbeya original na mipaka yote ya Tanzania, katimba hapa juzi kati katika ziara yake iliyoisha hivi karibuni, hakika wananchi wote wamekubali kuwa John ndio "presezeda" wao kwani kila mahari alikopita katatua shida za wananchi kikamilifu na papo hapo bila longo longo zozote.
Sasa kilichobaki ni kumtema huyu msanii, na kumchagua mtu wa maana atakayeongoza jahazi la wana Mbeya kwa ajili ya maendeleo endelevu. Ipo wazi huyu msanii hana tena mvuto kwa wananchi, kwani wengi wao wananchi wamegundua huyu msanii hana ubavu wa kuleta maendeleo yoyote katika jiji la Mbeya.
Nawasilisha!