Kiburi kinachelewesha maendeleo jiji la Mbeya

Mbeya mtake msitake hela zitakuja tu hapo.tupo mpakani kidadadeki fisiem
 
Tuachie Mbeya yetu, sisi asili yetu hatuwezi kumnyenyekea mtu. Eti kwa sababu yeye ni "LAHISI".

Jukumu la maendeleo ni kwa wote. Mbeya tunalipa makodi kama mikoa mingine wanavyolipa, sidhani kama tuna haja ya kulamba miguu tupate maendeleo kama hawataki na wanatutenga MBONA FRESHI TU?!

Hata huyo bimama akina akataka kugombea 'ub' tumlambe miguu asahau kuupata.

Mark my words.
 
Mj.inga .na mpu. Mbavu wewe.mbeya haina maendeleo???
Haipo panapotakiwa kuwa hasa kwa miundo-mbinu ya barabara, drainage na sewage systems
ambayo huchochea biashara ya nyumba, makazi na biashara ya huduma.
 
Msitutisheee...

Kwani hela za maendeleo ni za hao viongozi au zetu sisi walipa kodi?
 
We dada ni takataka sana,yaani mambo ya serikali unafananisha na ndoa yako na mumeo?
Mbeya tumeamua kuchagua mbunge wa upinzani.
Mbeya tunalipa kodi ya kutosha.
Mbeya tunawaheshimu viongozi wote lakini hatuwalambi miguu.
KAMA KUNA KIONGOZI ANAONA MBEYA TUNA VIBURI KISA HATUJACHAGUA MTU WANAYEMTAKA WENYEWE NA KAAMUA ASILETE MAENDELEO MBEYA HUYO KIONGOZI NI KICHAA ANAWAKOMOA WATANZANIA MBEYA NI TANZANIA.
Next time usilete upumbav wako kama huu kenge wewe.
 
Nasikitika sana jiji la Mbeya kubeba taswila ya kutoheshimu, viongozi wakuu wa kitaifa na mamlaka zao. Matokeo yake jiji limekuwa linachelea kupata maendeleo ya haraka, kwa sababu ya kukosa ushirikiano dhabiti kutoka mamlaka za kiserikali.

Ipo wazi kuwa, wana Mbeya wafike mahari, watambue ipo haja ya kukubali kushirikiana na viongozi wakuu pamoja na mamlaka zao, katika kujenga jiji la Mbeya. Hii biashara wanayofanya ya kujionesha ni watovu wa nidhamu kwa serikali haitowafikisha popote, zaidi zaidi itakuwa ni hasara kwa kuendelea kukosa miradi ya maendeleo na kusahaulika.

Rai yangu: bado nafasi ipo ya kushirikiana na serikali, ifike mahari tutambue kwa busara yupi ni mtu sahihi ambaye anaweza kutuvusha katika daraja kuelekea katika maendeleo ya kweli, ifike mahari tutambue tunapaswa kujenga mahusiano mema na viongozi katika mamlaka zao za serikali kwa ajili ya maendeleo yetu, tukosoe kwa staha na adabu pale ambapo tunaona mambo hayaendi sawa, kuanzia sasa tujenge taswila mpya hakika jiji la Mbeya litatoboa, kwani lina sifa zote za kutoboa ila wanasiasa wanalichelewesha jiji kutoboa.
Watu wa Arusha wajanja sana, wanaopondea serikali ni vijana wanywa viroba ila investor wakubwa pale chuga wapo sambamba na serikali, wamiliki wa mahotel wanakula bata na akina kikwete, miradi mikubwa ya maji na ujenzi wa barabara za kisasa imeelekezwa huko....
huko mbeya sasa watu wanaisha kwa tabu sana, mji umejaa vumbi kinyama, et sugu ni mbunge wa mbeya, viongozi wakija anawanyoshea dole la kati, alaf kesho anaenda kushinikiza serikali impelekee huduma ya maji...huo ni ujinga
 
Umenena mkuu wewe umenielewa vizuri sana na umemaliza kabisa
 
Sidhani kama nimeshawishi upuuzi, pia sidhani kama nimempigia kampeni kiongozi fulani, andiko langu limejielekeza katika kubadilika wana Mbeya, biashara tunayofanya haitusaidii inatukata sana, tubadilishe huu utamaduni wa kujitia majeuri mbele ya walioshika makali.
Huna akili wewe
 
Alienzisha huu Uzi sio yule wa mjengoni aliesema kuwa "waliosema sio ndio wameshinda" maana maandiko yake kama anapima upepo je gia zake zinakubarika au LA,uzuri anakula za USO mpaka sasa naona.
 
Sidhani kama nimeshawishi upuuzi, pia sidhani kama nimempigia kampeni kiongozi fulani, andiko langu limejielekeza katika kubadilika wana Mbeya, biashara tunayofanya haitusaidii inatukata sana, tubadilishe huu utamaduni wa kujitia majeuri mbele ya walioshika makali.
wewe ni bwege kabisa
 
kwa Taarifa yako Mbeya jiji ndio kumejaa upinzani...kwingiNE kwote ni CCM sasa linganisha huko kwingine na jijini tuone maendeleo yanahitajika wapi
 
Nasikitika sana jiji la Mbeya kubeba taswila ya kutoheshimu, viongozi wakuu wa kitaifa na mamlaka zao. Matokeo yake jiji limekuwa linachelea kupata maendeleo ya haraka, kwa sababu ya kukosa ushirikiano dhabiti kutoka mamlaka za kiserikali.

Ipo wazi kuwa, wana Mbeya wafike mahari, watambue ipo haja ya kukubali kushirikiana na viongozi wakuu pamoja na mamlaka zao, katika kujenga jiji la Mbeya. Hii biashara wanayofanya ya kujionesha ni watovu wa nidhamu kwa serikali haitowafikisha popote, zaidi zaidi itakuwa ni hasara kwa kuendelea kukosa miradi ya maendeleo na kusahaulika.

Rai yangu: bado nafasi ipo ya kushirikiana na serikali, ifike mahari tutambue kwa busara yupi ni mtu sahihi ambaye anaweza kutuvusha katika daraja kuelekea katika maendeleo ya kweli, ifike mahari tutambue tunapaswa kujenga mahusiano mema na viongozi katika mamlaka zao za serikali kwa ajili ya maendeleo yetu, tukosoe kwa staha na adabu pale ambapo tunaona mambo hayaendi sawa, kuanzia sasa tujenge taswila mpya hakika jiji la Mbeya litatoboa, kwani lina sifa zote za kutoboa ila wanasiasa wanalichelewesha jiji kutoboa.
Acha unafiki ww tuache na mbeya yetu
 
Back
Top Bottom