Kheri ya mwaka mpya 2015. Natumaini weekend inaenda vizuri kabisa.
Wadau wa jukwaa hili kama kichwa cha habari kinavyosema najitokeza kwenu kuomba msaada wenu.
Mwambie mtu akutumie msg
then utaisoma katika first lane kisha nenda kwenye settings fanya backup
unistall whatsapp ingia google download whatsapp plus install utarecover data zako
then unatumia kama kawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.