Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
- Thread starter
- #21
keshapata mteja............... mkiwa mnaenda usisahau kunishtua
siwez kukuacha
keshapata mteja............... mkiwa mnaenda usisahau kunishtua
kwa mganga umeshatoka? umeambiwaje?
ebu fanya maombi usiku kucha ukimuomba mungu usikie majibu yake maana kwa mganga ukitoka utakuwa na hasira mara mbilibado sijaenda mkuu, ni badae jion au kesho. Amesema wife twende bagamoyo
ebu fanya maombi usiku kucha ukimuomba mungu usikie majibu yake maana kwa mganga ukitoka utakuwa na hasira mara mbili
si kaachishwakazi huyu? mwache mwenzako aombe kazi huku..
Avatar yako mie hooooi, sijitambui!Hata kama huko kwingine sioni, sura hiyo burudani tosha moyoni!Siku mbili zote hizi? kweli anayaweza!
Avatar yako mie hooooi, sijitambui!Hata kama huko kwingine sioni, sura hiyo burudani tosha moyoni!
Wenyeji watakuambia unatafuta umaarufuu na sifaa utafikiri Jf ya kwaoo,we toaa uzii bana labda Max akatae aseme imetoshaa
Wewe unamiliki range afu unataka ajira JF
mwingine anasema "UNATUJAZIA SERVER" nikajua MAX MELO ni baba yake
Hahahah!!! shaurilo! pole wee ,hujitambui na Avatar tu???