ndisinzowa
Member
- Aug 18, 2010
- 86
- 14
Hi wadau,nina nokia X bt nashindwa kuingia wattsap inakaataa inasema phone haisapot.naomba msaada
Hi wadau,nina nokia X bt nashindwa kuingia wattsap inakaataa inasema phone haisapot.naomba msaada
Pia unaweza kudowload app inaitwa Whatsapp launcher for nokia x. inafanya kazi vizuri tu.
Ili kufungua whatsapp badala ya kuiclick whatapp yenyewe unaclick whatapp launcher na inaifungua bila shida
Thanks Mkuu nimefanya hvyo na inapiga mzigo fresh