Kuna kitabu mwandishi amejaribu kuongelea vyakula jinsi vinavyofanya mtu azeeke, amejaribu pia kukataza matumizi ya sukari. Msaada Kwa ambae amefahamu iko kitabu. Nilikuaga na soft copy ikapotea
Nimefuatilia Sana, nimegundua Russia kwa ilipofikia kuanguka ni ngumu. Kutaka kuiangusha Russia ni kutaka kuiangusha Dunia.... Russia ni kama nguzo fulan kubwa Sana inayoishikilia Dunia, ikianguka ni kuanguka kwa Dunia. Kwa ukubwa waliojijengea Russia na USA mpaka sasa haiwezekani zikaanguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.