Wakati mnaendelea kutafuta wateja wapya Rai yangu mngejishughulisha pia kuhudumia vizuri wateja tulioshawishika awali kuwa wenu.. kwa kutatua changamoto kadha wa kadha tunazoziripotia kwenu na hata Hamuitikii inavyofaa wala kwa wakati…
Konki sana lkn kwa wengi kukielewa inaweza kuwa ngumu so wapite na The richest man in babylon pia The winners law— Bodo Schäfer.. alafu badala ya kusoma vingine wavirudierudie tu hivi viwili kama Msaafu/biblia
Mtoa mada ajiadhari nawewe kwani unaweza kumpoteza kwakukusudia au bila kukusudia.. Kama dhamira ikiwa ninkuuza 50M kwa mwezi afu Kariakoo hiyo ni hasara. Lkn pia 70M hata akiwa na jengo lenye miundombinu tayari kwa 70M hawezi kukidhi soko.. sipajui Dododoma lkn napachukulia kama pahala ambapo...
Kwa kuitizama video, Haiwez kuwa congo hapo,
1.uniform za polisi wa zambia
2. plate number kwenye gari ndogo ni ya Zambia pia
3. Wanasikika wakizungumza Bemba (Ligha ya Zambia) na kiswahili chenye lafudhi hiyo pia kwa baadhi ya wazungumzaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.