hizi ni njaa na kukubali kutumiwa na wazungu tu watanzania hawana muda na nyie sisi tutaendelea kukubaliana na hayo mbadiliko hata kama ni madogo huku tunaendelea kupambana hii ndio sera yetu sisi ACT-Wazalendo
Ni lini hicho kinachoitwa msimamo uliwahi athiri shughuli za serikali? Hii nchi haiongozwi Kwa misimamo au mihemko ya kikundi Fulani Cha watu kinaongozwa Kwa mujibu wa katiba ma Sheria Sasa chadema ni kama hawana Tena hoja walilamika mama akawapa uhuru wa mikutano ya kisiasa lakini hatuoni Cha...
Tunaangalia utendaji kazi wake umri sio tatizo kama anachapa vizuri sisi wananchi tunakwenda nae. Rais atakua ameridhika na utendaji wake ndio maana akamuongezea Muda
Nijuavyo mimi wakati wa uchaguzi tume ya uchaguzi huwa inatoa matokeo yote kituoni kwa kubandika fomu ya matokeo pale pale kituoni lakini haiwezi kutangaza mshindi hadi majumuisho ya kura zote kufanyika kufanyika ndipo inamtangaza mshindi. sasa sijui wewe unamaanisha kuwa utakua unalinda kura gani?
Huu sio uchambuzi ulichokifanya na wewe umeamua kuonesha upande wako kwa hiyo usianze kutupangia na sisi cha kuandika kwa kujiona kama una facts sana kumbe hakuna lolote jipya hapa
Tafsiri nyepesi sana ya uchaguzi huru na ahaki ni amani inayotawala baada ya chaguzi zetu, Kila baada ya chaguzi zetu maisha juwa yanaendelea kama kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.