1.fanya utafiti ujue ni mtu wa mtazamo gani ,nini anapenda na nini apendi,anapenda mwanamke wa aina gani kuanzia (umbo, tabia ,dini na vinginevyo),nk
2.linganisha interests/hobbies zenu zinaendana
3.ukiona 1 &2 viko ok anza kuwa secret admirer online(facebook,email,),ukiona mambo yanaenda vizuri...