Valentine day yangu imeharibika wana jamii naomba msaada wenu

Valentine day yangu imeharibika wana jamii naomba msaada wenu

pole sana kaka yote haya ni majaribu ya dunia!kwa jinsi nionavo huyo dada hana mapenz kabisa na wewe kuna mwanaume mwingne anayemtia kiburi!kubaini kama kweli hana mapenzi na wewe jaribu kukaa siku 3 bila kumtafuta uone kama atakutafuta na atarespond vp atakapokutafuta,ukiona ovyo huna haja ya kuendelea nae kwan atazidi 2 kukupa stress kama wasichana walo2lia wapo weng 2. Kila la kheri.
 
dah huwa sishabikii mahusiano kuvunjika ila kwa hapo mkuu msd hakuna kitu
Angalia ustaraabu mwingine wa wewe ni huyo umwitaye mpenzi wako
hana mapenzi na wewe na wewe amekuweka kama spare tuu anapoona wale wengine hawapo
Na unachotafuta ni maumivu ya kuambiwa hakutaki tena wakati wewe ushapanga mambo kibao kichwani mwako
 
Last edited by a moderator:
Ni bahati sana kujua kwamba haupendwi.Wengine mpaka leo bado hawajalijua hilo..utasikia bebe! bebe lovu yuu! Na miaka
inazidi kwenda bila kujua kuwa hupendwi,as long as wewe umetambua hilo mapema mkuu just carry on!maisha yanaendelea.
 
pole sana, nahisi huyo atakuwa GOLD-DIGGER au kama c o hivyo bac atakuwa MALAYA, hapo unachoma maindi kwa torch..
 
Facts unazo,Law is there.Kwanini unashindwa kuandika hukumu? Uking'ang'ania utapata pigo litakalokufanya ushindwe hata kuleta uzi hapa
 
Neno zuri ninalokupa ndugu ni ACHANA NAYE,inaonyesha umeumia sana lakini ndio mambo ya ku-fall kichwa kichwa(yaani kama ni
nyoka kwenye shimo wewe umeingia mwili mzima)katika penzi,inaumiza sana najua hiyo kitu,siku nyingine if it happens you fall to another one sijiachie full,acha akiba kidogo,just incase akikutenda maumivu yake yanakuwa sio kivile.Kitu kingine usipende kulazimisha mapenzi ukigundua kuna sign za mtu kuku-cheat,achana naye immedeately,watu wanakunywa sumu kwa kuyaendekeza haya mambo maana aslimia karibu 70 ya mapenzi huwa ni kudanganyana,ukweli ni kidogo sana.Jaribu kutofautisha kati ya kupendana na kutamaniana utagundua penzi lako liko kundi gani.

Thanks for Nice Advice
 
UNAKUBALI KUWA zombie KAMA UKUBALI CHUKUA HATUA TUNATEGEMEA thread nyingine ya NIMEACHA MTU BADO ANANISUMBUA.
 
we una moyo kwei hongera...

kwanzia leo kama unaweza block number yake tafuta mwingine maisha yaendelee usipoteze muda wa kumtafuta hakuna la kuongea hapo. wala huna haja ya kumwambia unamwacha wee kimyaa

huo upepo wa maumivu ni wa muda tu utapita
 
Mimi ni Kijana wa kiume nina mahusiano na my Girlfriend for almost two years na tulikubaliana mwezi huu tukatambulishane kwa wazazi,na Mungu akipenda tufunge Ndoa Mwaka Huu kwa kweli tulikuwa tunapendana sana.
Lakini bahati mbaya mwezi mmoja uliopita nilikuwa naangalia sms kwenye simu yake na nikaja gundua kwamba kuna siku aliniambia usiku hatapatikana kwenye simu because ya Charge kwani anasema umeme siku hiyo ulikuwa haupo,,Lakini kwenye sms nikagundua alikuwa hajalala nyumbani usiku huo alilala nje na jamaa mwingine, mbaya zaidi nilivyokutana nae akaanza ku-delete sms za huyo jamaa.kwa hiyo nikagundua kwa sasa hivi anani cheat.
Nilikaa kimya kwa mwezi mzima sijmuambia kitu na uhusiano wetu ukaendelea kama kawaida ili nijue ukweli.

PILI kila tukiwa naye huwa ananisave kwenye phone yake kama My husband lakini nikaja gundua pindi tuanapoachana ananibadilisha jina.

TATU amekuwa akinidanganya sana mfano ananiambia yupo nyumbani lakini nikifuatalia nagundua kwamba hayupo nyumbani.

NNE kila nikimtumia sms hata iwe ya msingi kiasi gani haijibu mpaka nimpigie halafu nikimuuliza ananiambia hajaiona lakini nikafuatilia nikagundua kwamba at same time anaweza mtu mwingine akamtumia akamjibu at spot.

So nikaamua kumuambia ukweli kwamba kama kweli ananipenda and kweli yuko willing kuwa na mimi aniambie ukweli wa mambo hayo lakini akaanza kuwa mkali kwamba anataka nijue nani kaniambia kuwa yeye ni malaya wa kulala na wanaume hovyo,,tulikuwa tunafanya maongezi kwa njia ya simu kwa sababu alikataa tukutane kwa maongezi kwa kisingizio kwamba yupo busy lakini nilivyofuatilia nikagundua kwamba anaweza kukutana na watu wengine kwa starehe lakini hataki kukutana na mimi kwa mambo ya msingi.

Alivyoanza kuwa mkali akakata simu,kila nikimpigia ili tuongeee ikiwezekana tuyamalize hataki kupokea simu.

Nisaidiane wana jamii nifanyeje? na Valentine yenyewe imeharibika.

Mkuu kimbia wala usigeuke nyuma huyo ni Malaya.Tafuta mwingine mbona wanawake wapo wengi na ukimpata mwema huyo tapeli utamsahau kabisa.Mwanamke wa namna hiyo usikubali hata kupatanishwa naye kwani atakusumbua hapo baadaye.
 
Pole sana mkuu! Chapa lapa hapo hakuna mapenzi anakutumia tu. Ushaidi ote unao unashindwa kufanya maamuzi?!
 
Pole sana Kijana na ushukuru Mungu kuwa umeweza kuyaona hayo yoote kabla hata hamjaingia kwenye ndoa. Uamuzi ni wako wewe - kusuka au kunyoa. By uamuzi namaanisha hata akirudi kwa magoti na machozi, unatakiwa uwe umeshafanya maamuzi on "way forward".
 
TUESDAY, JANUARY 22, 2013

'WHATS IS LOVE'?
Was the most searched phrase on google in 2012. Why people are looking for, answers, meaning and definition about love?

I believe , if you ask many people , with different ( colour, age, professional, religion, etc), this question , what is love? You Will not be able ,to get a single or a perfect definition about love, but a lot of definitions, meanings, stories etc, concerning love.

"Understanding love is one of the hardest things in the world" Fred Rogers.

I agree with him. That's why, i won't waste my time, trying finding the definition of love. The most important thing i care is, TO LOVE AND BE LOVED. Because;

If you understand, what is love all about. And you aren't in love, it's nothing.
If you love somebody, and s/he doesn't loves you back, it's pain.
If someone loves you, and you don't love that person,it's sad.
If you love and be loved in return, is love.

What do you think? I'm inviting your ideas and opinions,etc.

Posted by Eunice Mahundi at 12:25 PM
Email This
BlogThis!
Share to Twitter
Share to Facebook

Reactions:
4 comments:

MtaitaJanuary 23, 2013 at 12:47 PM
Thanks Eunice for the Blog that will help millions of people in the World.Let me go to the point,Love exist and can be defined.The problem is realization in our mind.This is b'se love is feeling that situated in subconscious of another you.Inside you as body there is another you who carry this love.Theologically there are different types of love but in Human Relationship especially Female and male,love base on attraction,feeling and get use to someone.That is love! If you have these,then you have the right to say I LOVE YOU. Still this love can be active,inactive or dead due to some factors.The active one is based on mutual responsibility through feelings of Love.Inactive and Dead based on different other factors i'll mention on my next post... thanks for visiting.

ReplyDelete

Eunice MahundiJanuary 24, 2013 at 1:16 AM
Thanks so much Mtaita, I like to know about inactive and dead love, hope u will be back.

ReplyDelete

MtaitaFebruary 12, 2013 at 7:19 AM
Well,am back again... Today am gonna talk about inactive and dead love.Start with inactive,this is the type of love which occur when partners posses mistrust,extreme jealous,Lies,and Careless.Once these partners recognized what is missing and work out on it,their love will be active again and they will enjoy it.The last type am gonna talk about is Dead Love.It is more worse type of love and bad enough that many couple belong in this type.The good news is there is a chance to make it alive again,and your love might come from dead to life. OK,first thing you have to know is dead love is the one in which both partners are interested on somethings from each others.In this type a person become blind to see the beauty of someone's heart.Their mind and eyes are busy with other staff.This type of love can come from Dead to life if and only if it is destine to be s😵therwise if these two couple realized the beauty of each others heart,and to do so couple must spend more time together.The more time you are together the more chance to see different actions that will make you forget about other staff like Richness,Status,Popularity,And outlook.
As we can see,all these types of love can turn to active love which is purely and safely recommended.Though each and everyone has the right to choose what is the best for himself or herself.Remember,love as part of our life is dynamic it can't be straight through out all life,and if you draw its graph it'll be in asymptotic nature.We are the one who suppose to make it straight sometimes.Wishing all good luck in Your LOVE.
Thanks.

ReplyDelete

Eunice MahundiFebruary 13, 2013 at 12:06 AM
This is great, Mtaita. Hope many who are in dead love will follow this advice ,to make their love alive again especially on this valentine day, thanks so much.

Source, LIFE BLOG
 
Shukuru Mungu umemjua vizuri mwenzio kabla ya kufunga naye "pingu za maisha" maana ungeumia zaidi kama haya uliyoyafahamu yangetokea tayari mkiwa ndani ya ndoa. Pole sana piga konde moyo utapata mwingine atakayekupenda kiukweli.

Mimi ni Kijana wa kiume nina mahusiano na my Girlfriend for almost two years na tulikubaliana mwezi huu tukatambulishane kwa wazazi,na Mungu akipenda tufunge Ndoa Mwaka Huu kwa kweli tulikuwa tunapendana sana.
Lakini bahati mbaya mwezi mmoja uliopita nilikuwa naangalia sms kwenye simu yake na nikaja gundua kwamba kuna siku aliniambia usiku hatapatikana kwenye simu because ya Charge kwani anasema umeme siku hiyo ulikuwa haupo,,Lakini kwenye sms nikagundua alikuwa hajalala nyumbani usiku huo alilala nje na jamaa mwingine, mbaya zaidi nilivyokutana nae akaanza ku-delete sms za huyo jamaa.kwa hiyo nikagundua kwa sasa hivi anani cheat.
Nilikaa kimya kwa mwezi mzima sijmuambia kitu na uhusiano wetu ukaendelea kama kawaida ili nijue ukweli.

PILI kila tukiwa naye huwa ananisave kwenye phone yake kama My husband lakini nikaja gundua pindi tuanapoachana ananibadilisha jina.

TATU amekuwa akinidanganya sana mfano ananiambia yupo nyumbani lakini nikifuatalia nagundua kwamba hayupo nyumbani.

NNE kila nikimtumia sms hata iwe ya msingi kiasi gani haijibu mpaka nimpigie halafu nikimuuliza ananiambia hajaiona lakini nikafuatilia nikagundua kwamba at same time anaweza mtu mwingine akamtumia akamjibu at spot.

So nikaamua kumuambia ukweli kwamba kama kweli ananipenda and kweli yuko willing kuwa na mimi aniambie ukweli wa mambo hayo lakini akaanza kuwa mkali kwamba anataka nijue nani kaniambia kuwa yeye ni malaya wa kulala na wanaume hovyo,,tulikuwa tunafanya maongezi kwa njia ya simu kwa sababu alikataa tukutane kwa maongezi kwa kisingizio kwamba yupo busy lakini nilivyofuatilia nikagundua kwamba anaweza kukutana na watu wengine kwa starehe lakini hataki kukutana na mimi kwa mambo ya msingi.

Alivyoanza kuwa mkali akakata simu,kila nikimpigia ili tuongeee ikiwezekana tuyamalize hataki kupokea simu.

Nisaidiane wana jamii nifanyeje? na Valentine yenyewe imeharibika.
 
Sijambo mamii, nipo tu my, sometimes bize unakosa hata muda wa kuingia jf na unaweza kuingia na ukashindwa hata kupost, nice to hear from you my dear, happy valentine day to you too my dear

ram mamboshost umepoteaje??/mzima lakini Happy Valentine day shost wa ukweli
 
Last edited by a moderator:
Achana naye,usilazimishe mapenzi..yawezekana tayari ni mgojwa huyo,Muombe mungu atakupatia mwenzi wako..usiwe na haraka na ndoa..
 
Mimi ni Kijana wa kiume nina mahusiano na my Girlfriend for almost two years na tulikubaliana mwezi huu tukatambulishane kwa wazazi,na Mungu akipenda tufunge Ndoa Mwaka Huu kwa kweli tulikuwa tunapendana sana.
Lakini bahati mbaya mwezi mmoja uliopita nilikuwa naangalia sms kwenye simu yake na nikaja gundua kwamba kuna siku aliniambia usiku hatapatikana kwenye simu because ya Charge kwani anasema umeme siku hiyo ulikuwa haupo,,Lakini kwenye sms nikagundua alikuwa hajalala nyumbani usiku huo alilala nje na jamaa mwingine, mbaya zaidi nilivyokutana nae akaanza ku-delete sms za huyo jamaa.kwa hiyo nikagundua kwa sasa hivi anani cheat.
Nilikaa kimya kwa mwezi mzima sijmuambia kitu na uhusiano wetu ukaendelea kama kawaida ili nijue ukweli.

PILI kila tukiwa naye huwa ananisave kwenye phone yake kama My husband lakini nikaja gundua pindi tuanapoachana ananibadilisha jina.

TATU amekuwa akinidanganya sana mfano ananiambia yupo nyumbani lakini nikifuatalia nagundua kwamba hayupo nyumbani.

NNE kila nikimtumia sms hata iwe ya msingi kiasi gani haijibu mpaka nimpigie halafu nikimuuliza ananiambia hajaiona lakini nikafuatilia nikagundua kwamba at same time anaweza mtu mwingine akamtumia akamjibu at spot.

So nikaamua kumuambia ukweli kwamba kama kweli ananipenda and kweli yuko willing kuwa na mimi aniambie ukweli wa mambo hayo lakini akaanza kuwa mkali kwamba anataka nijue nani kaniambia kuwa yeye ni malaya wa kulala na wanaume hovyo,,tulikuwa tunafanya maongezi kwa njia ya simu kwa sababu alikataa tukutane kwa maongezi kwa kisingizio kwamba yupo busy lakini nilivyofuatilia nikagundua kwamba anaweza kukutana na watu wengine kwa starehe lakini hataki kukutana na mimi kwa mambo ya msingi.

Alivyoanza kuwa mkali akakata simu,kila nikimpigia ili tuongeee ikiwezekana tuyamalize hataki kupokea simu.

Nisaidiane wana jamii nifanyeje? na Valentine yenyewe imeharibika.

Acha u.ji.nga mkuu!what are you waiting for?umegundua anagawa unyumba,sio mkweli n yet wataka kumuoa?kweli mkuu?trust me utapata mwingine mzuri na mkweli kuliko huyu..wazo la busara hapa kaka ni kuachana na huyu mara moja!pole sana kaka!
 
Kama ukimpigia simu ikatokea haloow nyingi, aaah sikusikii vizuri mara simu ikakatwa halafu hakutafuti kukuuliza ulikuwa unasemaje, hebu achana nae kabisa. Kama mnaingia gesti unalipa hata 50 halafu unapewa pusi harakaharaka na mnatoka after say 1hr, achana nae kabisa si wako.
 
Back
Top Bottom