Nampenda huyu kaka

mlengeshe mkutane naye, afu ukimkaribia ujiangushe kama umezimia, akikupa first aid ujue anakujali.

Afu kila siku unakuwa unaenda kwake kumshukuru, mara kizawadi ila kisiwe kitu kikuubwa, mara ka salamu tu.
 
Kwanza nikupe pole mana hadi umekuja kusema hapa umeumia sana, Sasa kwa moyo wa dhati nasema nimekuelewa na nimekukubali, hivyo unaweza kuni pm tufanye unachotaka....
 
1.fanya utafiti ujue ni mtu wa mtazamo gani ,nini anapenda na nini apendi,anapenda mwanamke wa aina gani kuanzia (umbo, tabia ,dini na vinginevyo),nk
2.linganisha interests/hobbies zenu zinaendana
3.ukiona 1 &2 viko ok anza kuwa secret admirer online(facebook,email,),ukiona mambo yanaenda vizuri hapo ndio uanze kijipitisha pitisha,eye contact kwa sana,smile all z time,jua maeno gani anaendaga unajifanya mmekutana kwa kibahati
4.USITHUBUTU kumwambia,kwa vile ni mtu mzima na ana akili timamu,atajua tu ndie secret admirer wake,kama naye anakupenda atakutokea uiona kimya ,chapa lapa angalia uwezekano kwingine.
 
Jamani ni muda umepita ndangu nilipopenda mwanzoni now yapata taklibani 3yrs sijawahi hisi kupenda tena,but now nahisi kumpenda mkaka kiasi nikimuona nasikia raha,sitamani haondoke,natamani aniambie chochote nimfanyie,natamani kumuanza naogopa pengine anahisia zozote juu yangu,Naomba mnisaidie namna ya kumpata huyu jamaa au haweze kunitamkia anipenda. Nampenda sana kiasi nikilala lazima kwanza nimuweze ndio napata usingizi please wana JF nisaidieni niondokane na hili tatizo.

hebu nenda naye movies uone kama atazungusha! and MAKE SURE U SIT NEXT TO HIM, movie ikikolea hold his hand, the rest utanipa feedbak. ila sio tena movies umevaa dera, shindwa! casual cloth but sexy at the same tym, spray nice perfume, niiice one indeed! then usipake makeups kama avatar ya madamex, just very simple one, asione umepaniaaaaa! ol the best luv! and smile ol the tym akati unamuangalia, JARIBU SANA KUMAINTAIN EYE CONTACT WHEN SMILING!
 
mdada akipenda kama wewe ulivyopenda (kwa jinsi unavyojieleza) unaweza ukapagawa na inawezekana umeshapagawa manake kulala huwezi hadi umwaze,, so kimtazamo wangu hiyo ni lust! passionate desire ambayo sisemi kama ni mbaya ila kuwa mwangalifu,, hebu sali kwanza ili Mungu atulize hisia zako halafu jaribu kumtathmini huyu kaka hata kwa watu ambao wanamjua,, au hata kupitia yeye mwenyewe na utaona kama kweli ni mtu ambaye unaweza kuwa naye,, ndo uanze kumuongelesha kwa body language na kamwe usimtamkie eti nimekupenda,, noooo dont do that ok,,, slowly atakupata ujumbe wako na ataujibu,, na uwe tayari kwa jibu lake lolote... cheers!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom