Huyu mwanamke simuelewi

Matatizo ya vijana wa siku hizi yako as simple as matatizo ya kiuchumi ya nyakati hizi, yet hayatatuliki kiurahisi as well.
 
Asanteni kwa ushauri wenu wadau,nitajitahidi kufuata lile lililo jema.
 
Nipo chuo fulani hapa Dsm,kuna msichana nasoma nae nimezoeana nae sana because most of time we spend together,yeye kashaolewa na ana mtoto mmoja,kanizoea kiasi cha kuniita mimi husband wake,imefika hatua anakuja hadi geto kwangu nakoishi mwenyewe eti tudiscuss..wadau kuna nini hapa nishtueni mapema maana naogopa mambo ya kunasana mimi.

kumbe ushajua sasa jitietie tu,bora kunasa kuliko kuliwa 0713,mke wa mtu huyo,ooohh!kaa mbali
 
Back
Top Bottom