Jamani msimsakame mtoa mada ni kweli kuna baadhi ya watu wanamaumbile makubwa kiasi wewe mwanamke anakufanya ufikirie mara mbili mbili kusex nae mimi ilishanitokea hiyo ikabidi nimwache huyo kaka japo sikutaka kumwambia sababu. Watu wanatoa mifano ya watoto kumbukeni wakati wa kujifungua na...
Tusidanganyane mapenzi hayana formula kama mmefika wote mkatambua mapungufu yenu why not, inategemea na kilichopelekea mkaachana. Kama nimeona mapungufu yake yanaweza kuvumilika isee nitarudia tu hayo matapishi. Usiishi kwa kumuiga Jirani kila mahusiano ni ya kipekee
Ah kwani kaoa afande, Mapenzi ni hiari kama yeye hawezi kuniheshimu basi, yanini kunyimana pumzi? Aende akafanye atakayo ila mwisho wa siku akumbuke ana mke home
Hiyo ni moja ya makucha yake ni katili, wa hivyo anaweza kuchinja mtu isee. Mwambie utafikiria halafu unyamaze jumla uone kama atakuacha. Mwache alie wee atanyamaza. Ila pia usiache kumuonya huyo binti awe makini nae, anaweza kumdhuru
Aah mimi kwakweli napenda mwanaume strict kuna raha yake. Maana inaweza kuwa baby sijui nataka niende ,,,,, ana jibu sitaki! Basi nitabembeleza wee naambiwa nusu saa! ila usinipige tu maana sijawahi. Ukiwa mpole sana nitakusumbua maana nitakuwa natibua viugomvi tu ili nione umekasirika
Wewe unawaza polisi tu!!! Huwazi kuwa kesho mwanao anaweza kufanyiwa hivyo? Una uhakika gani kuwa watoto wako watakuwa waadilifu isee hapo huna mke! Ameshindwa kutumia busara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.