Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
matapishi khaaaaa najenga picha kichwani naona maruerue tu ptuuuuuu
Nipo kushangaa tu mie
matapishi khaaaaa najenga picha kichwani naona maruerue tu ptuuuuuu
je kama tunakumbushia tu bakurutu kimtindo ntakua mbulula bado??? Preta msaada tutani hebu nidadavulie mi ni mbulula au dearest bakurutu
Nipo kushangaa tu mie
Wala sio umbulula shostito........kuna mtu anakuchezesha sebene hata ukifa........bado utakumbuka ukiwa kaburini........
wacha niishie hapo kwa leo.........
hey shot kulia shot kulia nyuma geuka oooh ligwaride u knw wora m sayn
Ooooh yeah......gadem ligwaridezzz.............huyo hata sokoni mkikutana..........mnalianzisha.......he he he........
nyanya vitunguu hoho kuleee
Tusidanganyane mapenzi hayana formula kama mmefika wote mkatambua mapungufu yenu why not, inategemea na kilichopelekea mkaachana. Kama nimeona mapungufu yake yanaweza kuvumilika isee nitarudia tu hayo matapishi. Usiishi kwa kumuiga Jirani kila mahusiano ni ya kipekee
Yaani kabisaki ukwel naamin si mahusiano yakiisha yameisha!! na isitoshe ndo maana ya msamaha! kama mtu kagundua kwamba unamfaa, achalia mbali sababu zilizomuondoa why not? kama ulimfuma sawa, lakn bado unaweza onesha nguvu ya msamaha, isitoshe karud mwenyewe tena kwa kumaanisha na step za mbele zaid!! no nampokea!!
akionesha na mchozi ndo kabisa kanimaiza!! ambavo sipend kuona mtu mzima analia!!!
ni kimguu tu kinaonekana........huku ndala ikiwa nusu unyayo.......