Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 752
ww mwenyewe chenga unajuaje kama dada yako kashawapa mzigo
Na huyo binti naye ana mdomo mpana kwani hajawahi kutongozwa? Matangazo ndio yalimponza
Wakuu huyu binti ni mdogo wangu kabisa tumbo moja
Historia yake tangu sekondari hadi chuo naifaham, ana tatizo uhuni I mean kutotulia, angekua binti msafi Wa tabia wala nisingekuja hapa kusema hili
Mtaani mangi Dukani kapewa, Dalali Wa magari kapewa na wajinga wengine wengi
Sasa what is her logic?

Wiseboy anataka ushemeji na Hr
Wakati mwingine ukitumia logic kutatua mambo ya kijamii huwa ni shida Sana.Jamii haitakuelewa.Hapo Dogo aliharibu kwa kumtangaza
Hiyo maneno itakuwa uzushi tuu haina uwakika wa kina