Recent content by Noel 2014

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ukienda gereji kurekebisha tatizo, ukalipia pesa lakini gari likaendelea kuwa na shida ile ile, pesa inarudishwa au unapotezea?

    Nimetumia AI, imenipa checklist ya vitu vya kuangalia. Na plan weekend hii nikae na fundi kisha tukague kitu kimoja kimoja, mafundi wengi wanafuata mawazo yao ambayo ni matokeo ya experiance yao. ChatGTP imeniambia nikague vifuatavyo:_ 🔎 Engine Rich Condition Diagnostic Checklist 1. Confirm...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukienda gereji kurekebisha tatizo, ukalipia pesa lakini gari likaendelea kuwa na shida ile ile, pesa inarudishwa au unapotezea?

    Crown. Iliwasha taa, baada ya kufanya diagnosis ikaleta code ya system to rich, wakaniambia pump imekufa, nikanunua mpya na boya lake, bado ikawaka, system to reach, mare bank 1 and bank 2, wakasema petrol chafu, nikashusha tank, nikamwaga petrol chafu, nikaosha na kuweka petrol safi, sikufika...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ukienda gereji kurekebisha tatizo, ukalipia pesa lakini gari likaendelea kuwa na shida ile ile, pesa inarudishwa au unapotezea?

    Ndio Mkuu, hili la system to rich mimi Linanitesa mpaka nawaza kuuza gari yangu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Lack of Proper Diagnosis Tools – Sababu Kubwa ya Magari Mapya Kuungua au Kuharibika Mapema

    Naomba Msaada: Miaka miwili ilopita nililenga Crown online, nikanunua. Baada ya Mwaka Engine ikaknock, nikabadilisha Engine na Gear box at a go. Sasa ni kama mwaka umepita, nimepata kipengele cha check engine, baada ya kufanya diagnosis, ikaleta code ya system to rich. Nimeshatumia zaidi ya 1ml...
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

    Hakuna kitu kigumu Katika haya maisha kama kuwa wise. With age come wisdom. With age, comes regrates for spoiling your life becouse of something/someone whom you thought you can't Live without, and Now you arw Living without him/her.... Sasa ndio unajua kumbe unaweza, ila kidogo umechelewa kujua...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Jamani mmoja afunge huu mjadala.
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapenzi kuishi pamoja kabla hamjaoana!

    Kuishi wawili sio ishu sana. Sasa kama uwezo wa kufunga ndoa haupo mtafanyaje? Na mpaka mkaishi pamoja it is obvious nyumbani mnajulikana otherwise taarifa zingefika polisi kuwa kuna mtu kapotea. Mazingira ya sasa yana discourage vijana kuoa maana ndoa ni mitaji. Sasa kama huna hela ufanyaje...
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nemo kwa wanaume

    Tatizo sio Mwanamke kujikwamua, tatizo lipo kwetu wanaume. Ukimpenda Mwanamke, haimaanishi ndio awe mtumwa Wako. Kumpenda ni pamoja na kumpa uhuru wa kutumipaji chake. Ni pamoja na kumpa uhuru wa kuwa na uwezo atakao kiuchumi. Mwanaume lazima u fight kusimamia maisha yako. With or without your...
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimsomesha mpenzi wangu na leo kaniacha kwenye mataa!

    Sisi Masikini ni mahodari sana wa mapenzi. Tuna invest kwenye mapenzi, wenzetu wame invest kwenye kuishi ndoto zao sisi tunalia lia mapenzi. Makosa yetu yanatugharimu sana. We should remember Sisi pia tuna mAisha ambayo siku moja yatapimwa kwa yale tulofanya na kuyaishi. Ukitizama lipo kundi...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kisasa na tatizo la "Double standard"

    Navyojua Mwanamke ni either Pesa ama Mapenzi. Yaani either umpe hela ama ujue "kumsugua" nimetumia neno la mtaani.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Mimi naona akili za kibinadamu ndio zimetawala mawazo yako. Kumbuka limit ni kulingana na uwezo wako. Limitation ni concept ambayo ina exist kwenye kitu chenye udhaifu. Kikichokamilika hakina limits.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Hivi Mkuu Unaposema unlifted Rock unamaanisha nini hasa? Hivi ww binafsi unaweza imagine ni mwamba wa aina gani unauongelea?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Ni sawa na alietengeneza injini ya trekta. By all means kwa mikono yake hawezi kuibeba hiyo injini, hii haimaanishi kashindwa kuitengeneza hiyo injini. Ni sentensi mbili tafauti. Nimekuelewa sana Mkuu.
Back
Top Bottom