Recent content by Nodus

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Tanzania haitumii Gulfstream G700 kwenye safari zake, hiyo tracking ya uongo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto ninayoipitia kwenye biashara yangu ya CLEANING PRODUCTS.

    Kama bidhaa zako zina matokeo yanayoonekana, record video nyingi za ukionyesha before and after kisha post na lipia tangazo hata kwa 10,000 per day kwenye instagram
  3. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wahoji watoto wa vigogo kumiliki diplomatic passport baada ya Teresa kushare passport akiwa airport

    Kisheria ipo sawa, diplomatic passport hutolewa kwa familia nzima ya kiongozi ili hali ikibadilika huko wanapoenda waweze kuondolewa kwa pamoja
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna muumini yeyote asiye muislamu ambaye anaweza kumchinja NGAMIA,huu ni uthibitisho tosha kwamba uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu

    Upo katika haki (Uislamu) lakini kwa hili umekosea kwani hakuna dalili yeyote inayoonyesha hili na hata kipindi cha ujahilia makafiri bado walikuwa wanachinja ngamia. Na hata watu wa Nabii Salih Alayhi salaam waliadhibiwa baada ya kumchinja ngamia aliyeletwa kama muujiza kwao. Dalili za uislam...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Big Oil Companies Shell & Co: Kwanini zina shida Afrika tu?

    Kijana you have a rosy view of the world inaonekana bado huna experience na maisha. Watu wanadhamini vikundi vya kigaidi na kuwapa silaha, kuplot assasination za viongozi, kuangusha uchumi, fake terrorist plots etc. wewe unadhani kila mwekezaji anakuja na pure intentions pekee wenye nchi ndo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Big Oil Companies Shell & Co: Kwanini zina shida Afrika tu?

    Nani kakuambia zina shida Afrika peke yake? Hebu soma historia ya South America na hizo kampuni za mafuta utajua kuwa afadhali ya Afrika ujambazi waliofanya huko
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ukimtembelea mgonjwa hospitalini kisha akuulize ni saa ngapi, usimwambie

    Kwetu akiomba Bastola ndo tunampiga stop
  8. N

    JamiiForums Tanzania 20m itanifikisha wapi katika ujenzi wakuu?

    Unamaliza boma lote kasoro finishing. Naongea kwa experience sio kuotea
  9. N

    JamiiForums Tanzania HOJA Je, kiwanda cha Maranile Group Ltd cha Misugusugu kipo juu ya sheria au kuna watu wamepigwa milungula? Hakikustahili kujengwa kilipo

    Imeeleweka lakini kwa wananchi kuna shida pia kielimu. Maeneo mengi ya viwanda mamlaka za ardhi imedesignate kabisa “INDUSTRIAL AREA” mtu akiona kiwanda kinaanza kujengwa anaenda kujenga nyumba yake mpakani / karibu na kiwanda akiamini ardhi itapanda thamani zaidi kwa sababu ya mradi. Kama...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wapangaji mnalalamika sana, Nimeamua kutengeneza App ya kukodi moja kwa moja bila Dalali

    App ipo tayari shida ni weekend coder, hii inahitaji manual review ya kila post maana wabongo hawachelewi kuigeuza danguro
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wapangaji mnalalamika sana, Nimeamua kutengeneza App ya kukodi moja kwa moja bila Dalali

    Habari za Jioni, Wengi wenu hampendi madalali, mnaona kama kutoa kodi ya mwezi ni issue, basi msijali, leo mmefikiwa. Hii app ni ya iOS nimeandika mwenyewe kama hobby, sina team yeyote hivyo anayetaka kujiunga kwenye hii project aseme, maana nina kazi kazi nyingi za kufanya. Demo video yake...
  12. N

    JamiiForums Tanzania David Silinde: Serikali inajenga 'vyumba vya ubaridi' Rungwe kupunguza upotevu wa zao la Parachichi baada ya kuvunwa

    Cold room moja ndogo hata 10M haifiki, Yani hata wakichangisha kijijini wanaipata. Huu uzwazwa wa kijamaa wa kutegemea serikali kwenye kila kitu umetufikisha pabaya mno
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu ni wa haki kwanini udhalimu ni dhambi inayopuuzwa sana kwenye dini kuu mbili?

    Wewe unataka references za Qur’an au reference za masheikh? Maana unasema dini hazikemei, baada ya hapo unasema unataka maneno ya mashekhe - la kwanza naweza kukupa reference nyingi mno, la pili ni matendo ya watu na hilo sihusiki nalo. Je nikushushie reference au ni uzi wa kupiga kelele tu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu ni wa haki kwanini udhalimu ni dhambi inayopuuzwa sana kwenye dini kuu mbili?

    Kasome tena, Dhulma imezungumziwa zaidi kwenye Qur’an kuliko zinaa. Dhulma iliokuwa kubwa kuliko yote ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu kisha nyingine zinafuata, Na zote zimeelezewa kuindani kwe ye Qur’an. Soma usisubiri kusimuliwa
  15. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kupanda kwa mbolea ya ruzuku

    Mbolea (Fertilizer) ni byproduct ya Petroleum refinery. Mafuta yakipanda bei duniani na mbolea lazima ipande
Back
Top Bottom