Recent content by Nobody knows tomorrow

  1. N

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

    Ni vema adhabu iwe ni funzo kwa alietenda kosa, haina maana kumaliza kabisa nafasi ya mtu kubaadilika adhabu ya kifo sio uamuz sahihi hata kidogo... mwisho wa kuteekelezwa kwa adhabu ya kifo ni awam ya pili.. awamu nyingine zilizofata haijatekelezwa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Not long enough

    husband and wife are trying to set up a new password for their computer. The husband puts, "Mypenis," and the wife falls on the ground laughing because on the screen it says, "Error. Not long enough.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwigamba: Sitoki wala siombi radhi. Atoa ufafanuzi kuhusu Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013

    Mwigamba na wenzake wanaeza kuwa sahihi kwa shutuma walizotoa lakin na wao ni part ya uongozi wana nafasi ya kulaumiwa pia njia waliyotumia ikiwa ni pamoja na kashfa,dhihaka kibao walizotaja kuhusu uongoz uliopo hazitupi iman kuwa na wao ni wana demokrasia kama wanavojitapa yale sio mawazo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ahamishwa toka Muhimbili kwenda Hospitali ya Magereza Segerea

    duh! Haya ndo unayopost huku kumbe,we jamaa bhana
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla ni-tayari kwa mdahalo na mtu yeyote yule!

    ndugu Kigwangala,jaman mim nina swali,hivi kweli kulikua na haja gan ya kumtukana mtu mzima tena aliekusaidia bure kutokana na udhalimu wa serikal hii,hata kama humheshim,basi ungekumbuka hata msaada wake tu.Hivi unadhan kuna siku mhe lisu atasaidia mtu mwenyetatizo kama alokusaidia!maana ataona...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee Obama ashinde uchaguzi wa kesho

    nafikir theme ya alichokiandika co hyo uliyoipata
  7. N

    JamiiForums Tanzania Sheikh Farid Hadi Ahmed...Kulikoni?

    Hiyo sio alama ya CDM hata kidogo ila ni ishara ya amani I think you know this
  8. N

    JamiiForums Tanzania Can't there be thousands of these doctor's?

    wewe huna akili
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

    Natambua hivo na nadhan madai yanayodaiwa ni kwa ajili ya madaktari wote wanaotibu Tanganyika iwe Wacuba au Watanzania na kama wakirise concern kuhusu wale wa Zanzibar itakuwa invalid Coz madaktari wanaotibu Zanzibar watadai huko huko kene serikali ya Umoja wa Kitaifa ila ni iman yangu kama hawa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

    kila siku kila mwaka wanatoa Shule nzuri but sasa ni more than 50 years matunda ya Shule nzuri hizo hatuyaoni Nape sa hii cjui inakuwa ina maana gani maybe next time wafanye mbaya inaeza kutukomboa.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ahmed Rajab; mzalendo au mchochezi ?

    Al-Shabaab wameitwa magaidi na US Coz wanaingilia interest zao nasi tukakubali ni magaidi leo hii UAMSHO nao wataitwa magaidi na tutakubali kwa Sababu ya kuficha ukweli. Sometimes ukweli usemwe tu cna shida na Rajab Ahmed
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

    Sijutii Kuzaliwa tz ila najutia kukutana na watanzania kama wewe, Najua unajua kuwa Kuna chama cha wafanyakazi wote na unajua udhaifu wake pi unajua kuwa kila mtu ana haki ya kuchagua kazi anayoipenda na anapaswa kulindwa katika kazi hiyo na hii ni nchi yetu sote sa daktari aende wapi wakati...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

    Afya sio jambo la Muungano Mkuu Ndo maana.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

    Dah! We chai sana you know nothing af una courage ya kukoment kichizi but pole Coz hujui kuwa hii ni nchi yetu sote
  15. N

    JamiiForums Tanzania Madaktari waipiga changa la macho serikali

    Biblia inasema "watu wangu wanaangamia kwa Kukosa maarifa" So kwa ujinga wetu we will pay for it, that's all. Mi nasaport kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Back
Top Bottom