Siri ni; huyo mama ni mganda kwa kabila na si chaguo la M7
Chaguo la M7 ni mwingine anayetokea magharibi ya Uganda
Tuhuma za ufisadi hata kama kweli si ishu kwa baadhi ya wana EAC
wa TZ wameshituka au wameshituliwa labda na viongozi TZ au wana EAC wengine
Kabla hujawalaumu wabunge wa TZ ni vizuri ukajua politics zinavyochezwa kule EAC kwa ujumla, na EALA kwa hili. Mambo yanayojadiliwa kule yanakuwa backed na ajenda za ziada. Kwa ufupi, msimamo wao wa mwanzo ulikuwa wa ukweli na kuamini kinachozungumzwa. Baada ya kujua upande wa pili wa mambo na...
Wa Zanzibar wanataka mungano wa mkataba, wa bara serikali 3 njia ya tume ya kupata majibu ina shida.Haya yalitakiwa series ya maswali pamoja na la msingi kutaka muungano au la,halafu sababu n.k. zingetoa majibu hayo mengine.
Kwa upande mwingine, hili zoezi litenganishwe Katiba bila mambo ya...
Kosa la kwanza ni kuwafanya wabunge wote kuwa kwenye bunge maalumu la katiba. Majority ni CCM! wanatumia numbers kwa shinikizo la sera ya chama chao ni serikali 2 et.c kwanza hiyo statement ilitakiwa kuwa illegal kwani imeharibu kila kitu.Hivi mikutano ya CCM au CCM caucus zinazofanyika wakati...
Maneno kama haya yana faida gani? kwanza mashindano ya majeshi yalifanyika lini? hata kama ingekuwa kweli si utanzania kujisifusifu hivo tangu 70s hata tukiwa na maadui km Amin sikuwahi kumsikia kiongozi wa tz kuongea hivi except JKN kwa sababu maalum.
It's interesting, Lukuvi inatokana na kukuva yaani kupiga ili itoke sauti i.e ngoma, kengele n.k Lukuvi ni kipigio. Kumbuka ni waziri kwa PMO ...na ni Chief Whip.
I inamaanisha enye, kwa maana ya kuwa na kitu au vitu Fulani au tabia Fulani. Kiingereza of ...( a noun or an adjective).
kwa mfano; Igosi = I(gosi), mgosi ni mwanume hivyo igosi ni yenye wanaume au yenye tabia za kiume, isoka, I(soka), msoka ni mzimu au mzuka hivyo huko kuna mizimu n.k. kwa...
Baba yake aliuwawa mwaka 1971 wakati wa vita iliitwa ya MUTUKULA muda kidogo baada ya kumpindua Obote. Mzee Hanspope alikuwa RPC mkoa wa ziwa magharibi sasa Kagera. Mwili wake ulifichwa Mulago Hospital mpaka 1979 ukardishwa na kuzikwa Iringa.
1. Si kweli kuwa bajeti inaongezeka ajili ya viongozi kutibiwa nje.
2. Hayo magonjwa siyo yanayoitwa nyemelezi ila kuna nyemelezi yanayoweza kuchangia kwenye hayo. Usikufuru hayo uliyoyataja uwezo wetu kuyamudu mdogo
3. Elimu ya ukimwi haitegemei mifano ya watu maarufu au wanasiasa peke yake...
Ndugu kumbuka kutotoa uzito mkubwa kumzungumzia mtu bali issue na Kuzungumzia Kigoma ni ubaguzi. CCM wanafanya lolote ili wabaki kwenye dola. Wana take advantage ya weakness ya the currently most powerfull rival(CDM). Hoja wanazotumia ni zile zile za wakombozi - maadili, ukabila et.c. Kimkakati...
Ilikuwa mwaka 1973 mini skirt, tight, mashati slim-fit na pecos( Bell Bottom) zilipigwa marufuku watu walikamatwa na kuchaniwa nguo. Ingawa Nyerere alizuia operesheni hiyo kwa maelezo kuwa ni mambo ya muda tu yatapita, ziliingia boogaloo au mabwanga,maksi (magauni marefu mpaka chini). Kwa kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.