Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,109
- 3,054
Safi sana n.korea,tuleteeni aina hiyo ya usafiri,nadhani dar-mbeya tutakwenda kwa dakika kumi.
Nalog off
Hapo kwenye dakika weka sekunde
Safi sana n.korea,tuleteeni aina hiyo ya usafiri,nadhani dar-mbeya tutakwenda kwa dakika kumi.
Nalog off
Naskia hata Mugabe alimwambia Larry King "we'll be the first people to land on the sun" Alipoambiwa it's impossible because it's too hot et alijibu "we shall go at night fool", Inawezekana nae alienda usiku jua likiwa "LIMEZAMA" teh teh teh.
Eti nini?! Mwambieni huyo Kim Un aweke picha hapa ndipo tutaamini hizi propaganda zake!
Naskia hata Mugabe alimwambia Larry King "we'll be the first people to land on the sun" Alipoambiwa it's impossible because it's too hot et alijibu "we shall go at night fool", Inawezekana nae alienda usiku jua likiwa "LIMEZAMA" teh teh teh.
Baada ya muda kidogo anapewa tuzo.
North Korea akili zao haziko sawasawa.