Recent content by Nobert Gabriel

  1. Nobert Gabriel

    Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

    Subiri wakati wamungu ukifika utapata aliye bora zaidi
  2. Nobert Gabriel

    Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Sawa utafanya ivyo ila kumbuka watakwambia waandike bei ndogo kwenye risiti ilalf akupunguzie bei apo ameshawapata wengi sana maan watu huwa wanapenda kupunguziwa chakifanya nikuwapa elimu watanzania juu yakudai risiti yenye bei sahihi kwaajili yakuijenga tanzania
  3. Nobert Gabriel

    Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Hakutakua na utofauti kama mtu akitumia efd machine na website kwaasababu mwenye bidhaa hiyo ndio ataamua maan yey ndo atajaza bei ya iiyo bizaa hapo ujatatua tena mdo utakua umeongeza tatizo
  4. Nobert Gabriel

    Kijana huwezi tajirika kwa kuuza popcorn Makumbusho

    Brother usiwalaumu kunamengi san nyuma yao amboyo wew hata hujayafahamu wew mshukuru mungu kwako wewe suala la akili kila mtu na mungu wake
  5. Nobert Gabriel

    Wasomi wa kitanzania wanashindwa kwenda nje ya nchi kutafuta fursa mbalimbali kwasababu ya hivi vitu viwili(TOEFL na IELTS)

    Kwanza mwenyewe unajuta kuzaliwa tanzania alafu unataka watu wakusikilize na kukuelewa ????😂😂😂😂😂😂😂bas nenda kawashauri uko ulipotaka uzaliwe aaisee
  6. Nobert Gabriel

    Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Sugu, kusikika Clouds TV 23/11/2023

    Bilionea kwenye familia yake🤣🤣🤣🤣🤣
  7. Nobert Gabriel

    Rais Samia ni Corporate Leader

    Kazi kubwa sana kwenye uwekezaji nchi ni tanzania tunaiyona kwako
  8. Nobert Gabriel

    Makarani wa Sensa kuvuna Kitita?

    Sisi ambao hatuja acha copy kwa mtendaji kuna madhara yapi
  9. Nobert Gabriel

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia watanzania wamekupokea na wamekuwa 1: kupandisha mishahara 2: kuendeleza miradi mikubwa 3: kujenga vituo vya afya na madarasa 4:kuleta diplomasia 5: uhuru wa habari
  10. Nobert Gabriel

    Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu

    Hahahahaahaahahhaah wewe ulitaka akimbilie bar au
  11. Nobert Gabriel

    Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu

    Je vp wewe ni mwema????
Back
Top Bottom