mtu anapenda kushirikiana na mtu ambaye anamshauri,anamfariji,wanabadilishana mawazo,anamsifia anapofanya jambo zuri na kn kwanini wasishirikiane na tendo la ndoa ni sehemu ya kuongeza cku za kuishi kwa faraja unayopata .ndoa nyingine ni kama mahabusu ndogo
hayo ni maji chakula je? upendo kwa ndugu na marafiki ukoje? ushirikishwaji mipango ya kifamilia na kiuchumi ikoje?je ni muajiriwa au mama wa nyimbani ,anamradi wowote toa ufafanuzi mdogo kwa haya utasidiwa ndoa bado changa sana .
wewe utakufa siku si zako kinachotakiwa ni maisha sio elimu,elimu ni matokeo tambua mafahari wawili hawakai zizi moja siku hizi ndoa nyingi za wasomi hazidumu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.