matatizo ya korodani moja kuvuta na kuwa ndogo

matatizo ya korodani moja kuvuta na kuwa ndogo

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
53
Kuna tatizo ambalo huwa sijui kitalaam linaitwa vipi ila lipo kama hivi.
Korodan moja inakua ndogo tofauti na nyingine

Inavuta kama inataka kuzama kurudi juu

Je, tatizo hili kitalam linaitwa vipi? Kuna athari zozote kutokana na tatizo hili?
 
Henia hiyo Mkuu ngoja wataalam
waje lakini Hosp wahi.
 
Hernia Mkuu,ni hatari wahi matibabu,ni operesheni ya kawaida tu utakuwa sawa.
 
Haina madhara kwa mfumo mzima wa uzazi kwa mwanaume ??
 
Hii kitu nimeuliza kwenye jukwaa hili hapo juu me ninatatizo hilo na hii inanitokea sana kipindi cha baridi

na wakati uume ukisimama bila kupata haki yake huwa napatwa na khari hii ki ukweli maumivu yake hayaelezeki hata kidogo,, pliiz madaktari tusaidiane tafadhali.
 
Ndiyo kukamilika kwa mwanume siku zote hayalingani na asilimia kubwa ya wanaume ukivua nguo mzee analalia kushoto kama kuna maumivu muone dr
 
ndiyo kukamilika kwa mwanume siku zote hayalingani na asilimia kubwa ya wanaume ukivua nguo mzee analalia kushoto kama kuna maumivu muone dr

Sjakupata vizur .
 
Ingekuwa hausikii maumivu hilo wala si tatizo. Asilimia kubwa ya wanaume korodani moja huwa kubwa kuliko nyingine. Kwa kuwa umesema una maumivu basi kamuone dakta haraka.
 
uume mara nyingi asubuhi ukisimamama unalalia kushoto kwa sababu zile korodani moja inakua chini chini kidogo
 
Kuna ttzo ambalo huwa sijui kitalaam linaitwa vp ila lipo kama iv.
Korodan moja inakua ndogo tofauti na nyingine

Inavuta kama inataka kuzama kurudi juu

Je ttzo hili kitalam linaitwa vp? Kuna athari zozote kutokana na ttzo hili ??

iyo ni dalili ya ngiri huna haja ya kufanya upasuaji unawezakutumia dawa ya magome ya miti ukawa poa kabisa wasiliana kwa 0719836781 0765666390 dr sakaingo
 
iyo ni dalili ya ngiri huna haja ya kufanya upasuaji unawezakutumia dawa ya magome ya miti ukawa poa kabisa wasiliana kwa 0719836781 0765666390 dr sakaingo
Na vp korodani kuwa ndogo?
 
Daah! Nakumbuka nikiwa kidato cha nne, korodani moja lilivimba kiasi likiambatana na maumivu kama nimelipiga hivi, na lingine moja likiwa poa tu. Ilinibidi niende hosptal Agakan Dodoma.
Nikaeleza shida yangu na doctor akalichunguza. Akaniandikia dawa.
Kwenye dirisha la dawa nikapewa Panadol tu basi.
Nikanyw kama nilivyoelekeza maumivu yakaacha kabisa
Ila cha kushangaza lililovimba limebaki hivyo hivyo kubwa kuliko lingine bila maumivu. Ni miaka 12 sasa, ninawatoto wawili wenye afya kabisa.
Je, haiwezi niletea shida siku za usoni!??
Wataalam msaada wenu
 
Back
Top Bottom