Mie ni new member na nina haya

Mie ni new member na nina haya

Hii ndio JF Asilia

Ukitaka kulia utalia
Ukitaka kucheka utacheka
Ukitaka kubishana ndio penyewe
Na Hata Ukitaka Kuboeka ni humu humu.

Karibu sana chalii angu wa "to be continue" nangojea hiyo Episode ya Pili kwa hamu
 
jaribu kuandika "short and clear" wengine tunatumia visimu vya mchina, una scroooooool we ukifika mwisho wa habari yenyewe vidole vishachoka na ushasahau mwanzo

Ha haaaa haa
 
umri wako bado mdogo subiri ukuwe halafu tukujadili
 
hi jamii forum member
its my first time to join the group and amm so in love with jamii member helping each other and i hope na mimi naweza pata mchango wenu wa kimawazo pamoja na mbinu mbalimbali kuhusiana na maisha kwa ujumla.
:help:

Kwa kuaanza mimi ni kijana mwenye akili timamu na mzima kiafya pmoja na viungo vyote vya mwili kwa hilo na mshukuru mungu sana na kila siku iyendayoo kwa mungu nafanya hivyoo.Kiufupi nina elimu nzuri tu na nina uwezo wa kufanya maamuzi mazuri ya kimaendeleo pamoja misimamo ya kimaisha na nina kazi nzuri tu ambayo na mashukuru mungu kipato nacho kipata kina kizii mahitahi yangu.

Misha yangu yote nimekuwa mtu wa kujituma kielimu pamoja na kimaendeleo na muda umefika naona nitafute wa kuwa naee kimaisha yangu yaliobakiaa hapa duniani kusema kweli wasichana wote ambaoo kwa namna moja ama nyingine niliowaona wanafaa kuwa wachumba mpaka kuwa wake wandoa sijaona kwa kila watatu ama watano unakuta wanamapungufu amabyo sio mabaya kwa upande moja au mwingine ila kwa mimi sijaona, ila nashukuru mungu kwani niliyekuwa na muwaza muda mrefu na yule ambayee ilikuwa naomba mungu nimpate kwa muda wote huo nimeona na nahisi na kusema kweli sikuchelewa nikafanya kama mwanaume mwingine ambaee ni rijaliii anatakiwa afanyee.

Mahusianoo yetu yaliaanzaa kwa kasi sana huku nikiwa katika njia panda kwani kwa kipindi hiki nilikuwa na msichana mwingine ambayee tulikuwa tufanya wote project na huyu msichana akawa ananipenda kwa dhati na mimi nilikuwa katika wakati mugumu sana wa kufanya maamuzii ya kuachana na huyu kiasi cha kwamba sikutaka aumiee sana ila nilimweka chini na nikamwambia kuwa the only thing which keeps us together is this project and nothing else kusema kweli alikuwa mwelewa sana.Mahusiano yetu kati ya mimi na huyu yali dumu ndani ya miezii mitatu kwani nilijua sinto weza kumuweka katika nafasi ya uchumba hati maee katika nafasi ya mkee. Lakini mpaka sasa nakumbuka maneno yake aliyosema kuwa "utaja pendwa usipende na utakuja kupenda usipendwe" huu usemii naufananisha na jule wa "What goes around comes around"

Katika maisha yangu yote haya when it come to love relationship i have been in two form of relation one when i was in high school were by things got mishanded it was like a puppy love so we decided to end it and the second form when i finish my univercity which its ended badly and since i decided not to engage in any form of relatioship untill i manage to stand up by muself and namshukuru mungu nimejituma sana kwa nguvu zote na nashukuru mungu kwasasa nilipofikia na still keep own fight untill the end of time.

Maisha yakaendelea na sasa muda ulifika wa kutafuta kimwana wa kuishi naeeeee............. to be continue

english uliyotumia. ni mbaya. makosa kibao
 
jamaa yangu anasemaga ukitaka mwanamke asiye na kasoro oa dada yako na ukitaka mwanaume asiye na kasoro olewa na kaka yako, teh teh!

huo ni uongo mtupu, nina lidada langu linavyomwendesha mme wake hadi natamani kulidunda.
 
aaha mkuu umenichekesha, sasa ungekuwa naye wewe asingekwendesha, manake mnajuana vizuri sana, mmekulia pamoja! isitoshe kutakuwa na two relationships at a go, kwanza kama mtu na kaka yake, pili kama mtu na mumewe, teh teh teh!
 
Naona riwaya zinazidi kumwagika humu. Mtu ana siku moja tu kundini tayari eti nae kashakuwa Shigongo. Khaaaaaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hi jamii forum member
its my first time to join the group and amm so in love with jamii member helping each other and i hope na mimi naweza pata mchango wenu wa kimawazo pamoja na mbinu mbalimbali kuhusiana na maisha kwa ujumla.
:help:

Kwa kuaanza mimi ni kijana mwenye akili timamu na mzima kiafya pmoja na viungo vyote vya mwili kwa hilo na mshukuru mungu sana na kila siku iyendayoo kwa mungu nafanya hivyoo.Kiufupi nina elimu nzuri tu na nina uwezo wa kufanya maamuzi mazuri ya kimaendeleo pamoja misimamo ya kimaisha na nina kazi nzuri tu ambayo na mashukuru mungu kipato nacho kipata kina kizii mahitahi yangu.

Misha yangu yote nimekuwa mtu wa kujituma kielimu pamoja na kimaendeleo na muda umefika naona nitafute wa kuwa naee kimaisha yangu yaliobakiaa hapa duniani kusema kweli wasichana wote ambaoo kwa namna moja ama nyingine niliowaona wanafaa kuwa wachumba mpaka kuwa wake wandoa sijaona kwa kila watatu ama watano unakuta wanamapungufu amabyo sio mabaya kwa upande moja au mwingine ila kwa mimi sijaona, ila nashukuru mungu kwani niliyekuwa na muwaza muda mrefu na yule ambayee ilikuwa naomba mungu nimpate kwa muda wote huo nimeona na nahisi na kusema kweli sikuchelewa nikafanya kama mwanaume mwingine ambaee ni rijaliii anatakiwa afanyee.

Mahusianoo yetu yaliaanzaa kwa kasi sana huku nikiwa katika njia panda kwani kwa kipindi hiki nilikuwa na msichana mwingine ambayee tulikuwa tufanya wote project na huyu msichana akawa ananipenda kwa dhati na mimi nilikuwa katika wakati mugumu sana wa kufanya maamuzii ya kuachana na huyu kiasi cha kwamba sikutaka aumiee sana ila nilimweka chini na nikamwambia kuwa the only thing which keeps us together is this project and nothing else kusema kweli alikuwa mwelewa sana.Mahusiano yetu kati ya mimi na huyu yali dumu ndani ya miezii mitatu kwani nilijua sinto weza kumuweka katika nafasi ya uchumba hati maee katika nafasi ya mkee. Lakini mpaka sasa nakumbuka maneno yake aliyosema kuwa "utaja pendwa usipende na utakuja kupenda usipendwe" huu usemii naufananisha na jule wa "What goes around comes around"

Katika maisha yangu yote haya when it come to love relationship i have been in two form of relation one when i was in high school were by things got mishanded it was like a puppy love so we decided to end it and the second form when i finish my univercity which its ended badly and since i decided not to engage in any form of relatioship untill i manage to stand up by muself and namshukuru mungu nimejituma sana kwa nguvu zote na nashukuru mungu kwasasa nilipofikia na still keep own fight untill the end of time.

Maisha yakaendelea na sasa muda ulifika wa kutafuta kimwana wa kuishi naeeeee............. to be continue

Btw am single and ready to mingle lol
 
unadai una elimu ya kutosha? ila kidhungu unachotumia afadhali ungeandika kwa kimatengo tuu tungeelewa mkuu!
 
Usichanganye tena na umombo basi...
 
Hv hum kuna vigezo vya elimu nzur,kazi nzur ndio uweke bndko???g
 
Back
Top Bottom