Recent content by no nm

  1. no nm

    JamiiForums Tanzania Simu ya Huawei Y330 - U11 imepoteza IMEI baada ya ku unlock SIM. Naomba msaada namna ya kurudisha

    Nimejaribu: 1. Nikitumia miracle box inafeli kwenye "downloading boot 8" then inajifunga. 2. Kuweka custom ROM kwa sp - flash tool, nimefeli. 3. Nime apply update kutoka kwenye sim card inagoma. 4. Nimetumia mobile uncle apk ku restore IMEI kutoka kwenye bak file sijafanikiwa. 5. Nimetumia...
  2. no nm

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kamaliza chuo kaja na mtoto si wangu

    Wanawake wakifika chuoni sijui akili wanaachaga nyumbani?
  3. no nm

    JamiiForums Tanzania Nimeota ninakunywa bia, ila mimi sinywi bia. Nini maana yake?

    Wadau, mimi sio mlevi na wala situmii kilevi cha aina yeyote ile, Sitamani kuwa mlevi na wala sijawahi kuwaza kutumia kilevi, hata haya ma-energy drinks sijawahi kutumia. Cha kushangaza jana usiku nimeota nakunya bia, nilipata pafu moja ila ikawa na ladha mbaya then nikaitema. Hii ni mara ya...
  4. no nm

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Tafuta wataalamu wa jadi haraka iwezekanavyo.

    Kwenye movie ya a point of no return huyu mama alikuaga mzuri jamani dah Kweli jua huchomoza mashariki na kuzama magharibi
  5. no nm

    JamiiForums Tanzania Nimebadili dini lakini mpenzi wangu hajui, nimeamua nimuache

    Shkamoo Bi~Mmkubwa!
  6. no nm

    JamiiForums Tanzania Tatizo la plugged in, not charging kwenye computer linatatuliwa vipi?

    Haijasaidia kiongozi
  7. no nm

    JamiiForums Tanzania Tatizo la plugged in, not charging kwenye computer linatatuliwa vipi?

    Nimeacha betri ikadicharge mpaka zero% lakini haikusaidia pia
  8. no nm

    JamiiForums Tanzania Tatizo la plugged in, not charging kwenye computer linatatuliwa vipi?

    Nimefanya hivyo haijasaidia
  9. no nm

    JamiiForums Tanzania Tatizo la plugged in, not charging kwenye computer linatatuliwa vipi?

    Duh, ina maana hakuna anayejua?
  10. no nm

    JamiiForums Tanzania Tatizo la plugged in, not charging kwenye computer linatatuliwa vipi?

    Huo ni ujumbe ninaoupata ninapolocate pointer kwenye icon ya battery, sometimes inacharge na sometimes haicharge. Nimejaribu ku-uninstall and ku~reinstall ACPI nikidhani kuwa inaweza kuwa corrupt lakini sijafanikiwa. Msaada wa haraka plz, nisaidieni viongozi
  11. no nm

    JamiiForums Tanzania Kesho mshahara, nimemuomba nimtoe out Serena Hotel, kakubali

    Nelson Richard Lete feedback ya uliyokutana nayo huko,
Back
Top Bottom