Recent content by no name no name

  1. N

    JamiiForums Tanzania Umoja wa waliooa Machame & Mbeya (UMAMBE)

    Ni kweli kabisa, wamejaliwa miguu myembamba kama stick, na makalio kama wamepigwa pasi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuazima gari ni ustaarabu?

    kama umeisikia leo, basi copy kwa matumizi ya badae, na kizazi kijacho, elimu haina mwisho teh teh
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuazima gari ni ustaarabu?

    Teh teh! Gari sio MATA..ko Kila mtu anayo, tunajua hupendi unavyopangwa na kukanyagwa kwenye ma DCM,ni Ukapuku 2 utafanyaje? tunajua na wewe unatamani kumiliki kopo la 50m teh! teh! teh!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuazima gari ni ustaarabu?

    Gari yako ni kama Mke/Mume wako , kama huwezi kumuazima mtu Mkeo usimuazime mtu gari yako.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Maserati Grand turismo ya Davis Mosha

    Wivu, wewe ukifa uzikwe na hicho kisimu chako, baiskeli na lile shati lako la kitenge
  6. N

    JamiiForums Tanzania Maserati Grand turismo ya Davis Mosha

    wivu, wewe ukifa uzikwe na hicho kisimu chako, baiskeli na lile shati lako la kitenge @leomimi
  7. N

    JamiiForums Tanzania JAMANI OPA D4 YANGU! Msaada wenu tafadhali!

    My pleasure
  8. N

    JamiiForums Tanzania JAMANI OPA D4 YANGU! Msaada wenu tafadhali!

    Pale kigogo njia ya kuelekea ubungo maziwa, kama 100m kutoka round about ya kigogo, mkono wako wa kushoto. namba yao ni +255714553308
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuagiza vitu toka China kwa njia ya mtandao

    call me 0763294739
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    wanawake wengi wa kichagga wana sura nzuri lakini wamepigwa pasi makalio na vile vile miguu yao mwembamba kama stick ( truth hurts )
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    Sio bure, declare Interest ( kule ni UKWENI )
  12. N

    JamiiForums Tanzania Waarabu wana nguvu Iringa

    We kilaza Una siku 5 tu iringa, then umemwona mtu anamsifia mwarabu flani unageneralize watu wa iringa wapo hivyo. Au ulitaka huyo akushangae wewe kapuku? Waulize wenaoijua iringa watakwabia matajiri wa iringa (wakinga, wabena na Wahehe) ni akina nani. Iq yako ndogo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Kuna miji ua Uarabuni ambayo imechoka kama hapa kwetu namikweche yao ambayo imekua reconditioned wanauzia kariakoo ya uarabuni "Dubai", kwa mfano sehemu kama Al Rahba, Madha, Swaihan, Abu dhabi zimechoka tu na ni RHD drivers. So kuhusu mitumba ya uarabuni sio reliable.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Magari nayajua vilivyo, lakini scientifically depreciation ya gari inategemea sana mileage, kwa jinsi nilivyo najua hiyo ni opinion ya mtu na sio fact. by the way magari mawili moja lina 50,000 na limetunzwa vizuri na jingine lina 200,000 na limetunzwa vizuri hayafanani. usiwe compromised na...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    no name no name, Kukuhakikishia usalama wa pesa yako, utaituma pesa ya CIF moja kwa moja kwa muuzaji, that means mimi sitaishika pesa yako hata kidogo, then gari ikifika, TRA utawalipa kwa mkono wako mwenyewe.
Back
Top Bottom