Recent content by no chance

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanashindwa kuwalipa Walimu lakini wanaweza kutumia fedha nyingi kuwalipa Wasanii?

    kwa hiyo wewe umeaminishwa na mtu! Hujisumbui hata kufanya analysis wewe mwenyewe? wewe sito mwalimu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete awaonya UVCCM kuacha ukuwadi

    Matamko ya mkuu wa nchi hii ya watanganyika yanashangaza saaaana! Hivi kuna Rais yeyote yule kwa hivi karibuni ambaye hakutafuta kuungwa na hawa vijana wachumia matumbo aka uvsisiemu? Ex Tanganyika semper aliquidi novi.Kila kukicha lazima kutazaliwa na kituko Tanganyika.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nimeamini CCM inang'ooka! Sasa asiyeamini kuwa CCM inang'ooka Oktoba mwaka huu, akubali kwa uchungu!

    Historia haitufundishi hivyo.Sisiemu itang'oka tu kwani watz sasa wameamka.Watu wamechoka na chama cha ccm kwa sababu hakina lake jambo ila kutaka kuwa na madaraka ili kiwe na madaraka.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

    C.v ya Kibajaji mwenye nayo please!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

    Alichokifanya siyo sahihi kabisa.Lakini ndivyo waimbaji wengi wa nyimbo za Injili walivyo kwa hivi sasa.Unaweza kuwaalika hata kwenye uzinduzi wa kilevi nao watatia mguu bila hata soni,pesa mbele kama kitambi na utukufu kwao siyo jambo la maana.wengine shoo zao wanakatika kama mr. Nice eti nao...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete awasifia Wachina huku wakiwaumiza Watanzania na kuifilisi Nchi

    Wachina wanaifilisi nchi yetu ya TANZANIA huo ni ukweli kwa asilimia mia moja! Ni watoa rushwa wakubwa,wakwepa kodi na ni wanyanyasi wakubwa wa wafanyakazi wa kitanzania.Tatizo kubwa ni pipi wanazozigawa kama ambavyomtoa uzi alivyosema.Hawa jamaa wanaingamizanchi hii.Nitampigia kura ya ndiyo ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Wonders!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance at The Highest Levels! Mnashangilia Uji

    Wrong is wrong no matter who saiid or done it.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Why this time? the distablization of sisiemu's opponents has just begun.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Opportunist Mrisho Mpoto

    Mpotoaliwahi kutembelea UDOM,na kipindi hicho chuo kilikuwa kwenye migomo ya mfululizo kupinga uonevu uliokuwa unafanywa dhidi ya wanachuo.Mpoto alisema hivi;"ukitaka kuvuka mto wenye maji mengi na ukamkuta mtu kando ya huo mto na akakupa sharti kwamba ni lazima umwamkie mbwa ili uvushwe kwenda...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Majumuisho ya vikao vya Baraza la Mawaziri na vikao vya CCM Dodoma juu ya Escrow

    Sitegemei kwamba Zitto atakuja na jambo lililo jipya zaidi ya sarakasi.Zitto huyu siyo yule wa enzi ya buzwagi,huyu ni Zitto aliyejichakachua.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Huyu mzee ni miongoni mwa wazalendo wa ukweli waliobakia nchi hii.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

    Viongozi wa dini walio wengi wameshiriki ufisadi wa ENL.Unamkumbuka "Chichidodo"?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Fedha inadhalilisha utu wa watu.Huyu jamaa ENL,hafai kabisa kupewa nchi hii.Hivi watanzania tumelogwa na nani?
Back
Top Bottom