Opportunist Mrisho Mpoto

Opportunist Mrisho Mpoto

LOWASSA ANASWA LIVE NA KAMERA AKITOA TSHS 50 MILLIONI, HUKU AKIAHIDI KUKAMILISHA MILIONI 500 ENDAPO KAZI YAKE ITAKUWA NZURI.

Taarifa zisizo na shaka ni kuwa
Makaonda alimtumia Mrisho Mpoto
katika mtego wake huo,Mpoto
aliufanikisha mtego huo pahala
alipopanga kuonana na Bwana
Lowasa kusalimia, kulikuwa na
camera maalumu zilizotegwa kwa
juu, alimsalimu na
kumuimbia mashairi Lowasa
ambayo yalimfanya Mh Lowasa
kufurahi na kucheka baada ya
kusifiwa na mashairi hayo.

Walikaa mezani na alimpa mpoto
milioni 50 hapo hapo akitaka
atunge wimbo nakubadilisha
mashairi ya kumsifia Mzee Sitta
na badala yake pamoja na wimbo
wa Mjomba uwe ukimsifia yeye
Lowasa,alimwambia kuwa ata mpa
milioni 500 endapo kazi hiyo
itakuwa nzuri na akiendeleea
kushirikiana nae katika safari
yake ya kwenda ikulu

Mara baada ya mazungumzo hayo
Mpoto alishtushwa sana na
kupigiwa simu na watu wengi sana
wakimlaumu kuwa anatumika
kisiasa na wana siasa na
kutumiwa kipande cha vidio
akimchekesha mfalme ili apate
kula

Tangu hapo Mrisho amekuwa
akilalamika sana kwanini
alirekodiwa bila yeye kujua na
kwa kamera ambayo ilikuwa
imefungwa juu ? na baada ya
kuonyeshwa kipande kizima cha
vidio hadi akipokea kiasi hicho cha
milioni 50,

Mpoto ameumia sana
amerejesha fedha zote akisema
hawezi shiriki rushwa na tayari
fedha hizo anazo Makonda ambapo
atazikabidhisha kwa kamati ya
maadili ya CCM pamoja na
ushahidi huo wa vidio

MAKONDA AMEPANGA KUWEKA
KILA KITU HADHARANI HIVI
KARIBUNI KUTHIBITISHA MANENO
YAKE YA AWALI MWAKA JANA
KUWA MH LOWASA AMEKUWA
AKIHONGA WATU MAMILIONI NA
KUKIHARIBIA CHAMA SIFA
KIKIONEKANA KUWA NI CHAMA
CHA MAPESA KWENDA IKULU na
kwakuona kipande chote cha vidio
ambayo Mpoto anachukua milioni
50.

mara
baada ya makonda kuzungumza na
wanahabari akikabidhi pesa hizo
kwa Mzee Mangula.

Mkuu nakuomba sana sana!!!!! Kuna watu kibao hatujawahi kuona hiyo video, naomba upost au utoe link utakuwa mzalendo wa kweli kweli mkuu!!!!! LETA VITU WATU WAUMBUKE VIZURI.
 
Kwelii kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.

YAani huyu jamaa alivyokuwa anatoka nilimheshimu na nilikuwa namkubali saanaa.
Heshima yangu ilianza kupotea kwake baada kuanza kutumika na serikali ili kumpunguza makali.

SAsa amejidharaulisha wazi kwa jamii kwa kujionyesha mchumia tumbo, mwanzo alikuwa kwa sitta, baadae kuona sitta katiba mpya imemkaanga akahamia kwa membe, sasa ameona upepo wote umehamia kwa lowassa ameamua kuhamia huko huko.

Niliona video ya maneno yale yale aliyoyaongea kwa sitta ndio hayo hayo kayarudia kwa mhe lowassa, jiandae for your downfallcoz wananchi washakudharau na huaminiki tena.
Gombania mchumba, MC kakukosea nini?
 
Muache Mjomba bhana

Kama huko kudharau utamdharau wewe na sio wananchi kama unavyotaka kujikombakomba...mxhiiiiii! Kwa utafiti gani au hayo maoni ya wananchi umeyapata wapi au lini walikuagiza ukatume salaam....kwenda zako uko!

Watu wanaacha wake na kuoa wengine ije kua mgombea uraisi?? wee ---- kweli, ulitaka abakie kwa huyohuyo mmoja kwani kamzaa yeye?? Fisiiii......

Hata mimi nilishamdharau sana namuona kama mchumia tumbo tu! Na nina uhakika kijiheshima alichokuwa nacho kinaporomoka kwa kasi ya kutisha. Nadhani anatumiwa kama condom na watawala waliofilisika sera! Pole yake
 
kwa kumchagua Lowassa siwez mlaumu maana Lowassa ndiye mtu pekee mwenye uelekeo kwenye kinyang'anyiro cha urais. Kama amekaa akagundua hilo ni jambo jema kabisa. unataka aende kwa nani aliyepinda? au maembe? hamna watu hapo hayo ni magalasa tu ambayo watanzania wameshayashtukia na wala hawawez kuhangaika nayo. EDWARD LOWASSA NDIYE RAIS TUMTAKAYE. IWE KWA HERI AU KWA SHALI NDIYE TUTAKAYE MPITISHA KTK URAIS.
Umtakaye wewe!jamaa kwa richmond yake na sasa dowans?hajawahi kwenye hii saga kumtetea mtanzania wakawaida!leo umeme uko ghali unit moja 360/- anafaidika yeye na rafiki zake,hafai kwa masika wala kiangazi!Selfish personality...
 
kwa kumchagua Lowassa siwez mlaumu maana Lowassa ndiye mtu pekee mwenye uelekeo kwenye kinyang'anyiro cha urais. Kama amekaa akagundua hilo ni jambo jema kabisa. unataka aende kwa nani aliyepinda? au maembe? hamna watu hapo hayo ni magalasa tu ambayo watanzania wameshayashtukia na wala hawawez kuhangaika nayo. EDWARD LOWASSA NDIYE RAIS TUMTAKAYE. IWE KWA HERI AU KWA SHALI NDIYE TUTAKAYE MPITISHA KTK URAIS.

Unamaanisha Lowasa huyu mwizi fisadi wa richmond? Pole sana nyie walamba viatu vya mafisadi ili tu mkono uende kinywani
 
Muacheni Danny Sserunkuma ajipatie kipato msimu wa mavuno huu
 
kwa kumchagua Lowassa siwez mlaumu maana Lowassa ndiye mtu pekee mwenye uelekeo kwenye kinyang'anyiro cha urais. Kama amekaa akagundua hilo ni jambo jema kabisa. unataka aende kwa nani aliyepinda? au maembe? hamna watu hapo hayo ni magalasa tu ambayo watanzania wameshayashtukia na wala hawawez kuhangaika nayo. EDWARD LOWASSA NDIYE RAIS TUMTAKAYE. IWE KWA HERI AU KWA SHALI NDIYE TUTAKAYE MPITISHA KTK URAIS.

Unamaanisha Lowasa huyu mwizi fisadi wa richmond? Pole sana nyie walamba viatu vya mafisadi ili tu mkono uende kinywani
 
Muache Mjomba bhanaKama huko kudharau utamdharau wewe na sio wananchi kama unavyotaka kujikombakomba...mxhiiiiii! Kwa utafiti gani au hayo maoni ya wananchi umeyapata wapi au lini walikuagiza ukatume salaam....kwenda zako uko!Watu wanaacha wake na kuoa wengine ije kua mgombea uraisi?? wee ---- kweli, ulitaka abakie kwa huyohuyo mmoja kwani kamzaa yeye?? Fisiiii......
Aaa yu klezi?
 
Kwelii kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.

YAani huyu jamaa alivyokuwa anatoka nilimheshimu na nilikuwa namkubali saanaa.
Heshima yangu ilianza kupotea kwake baada kuanza kutumika na serikali ili kumpunguza makali.

SAsa amejidharaulisha wazi kwa jamii kwa kujionyesha mchumia tumbo, mwanzo alikuwa kwa sitta, baadae kuona sitta katiba mpya imemkaanga akahamia kwa membe, sasa ameona upepo wote umehamia kwa lowassa ameamua kuhamia huko huko.

Niliona video ya maneno yale yale aliyoyaongea kwa sitta ndio hayo hayo kayarudia kwa mhe lowassa, jiandae for your downfallcoz wananchi washakudharau na huaminiki tena.

Niaamni kuwa Mpoto ni msanii na analenga kupata riziki yake kutokana na sanaa. Sanaa zenye mlengo wa siasa bila shaka zinalipa ila ajiangalie zitamaliza kibiashara.
 
Makonda amejipa kazi ya TAKUKURU...?

Kama sio mwendelezo wa zilezile siasa zilizozoeleka, kwanini hakutoa taarifa kwa mamlaka husika ili watuhumiwa hao wakamatwe?
 
Kwelii kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.

YAani huyu jamaa alivyokuwa anatoka nilimheshimu na nilikuwa namkubali saanaa.
Heshima yangu ilianza kupotea kwake baada kuanza kutumika na serikali ili kumpunguza makali.

SAsa amejidharaulisha wazi kwa jamii kwa kujionyesha mchumia tumbo, mwanzo alikuwa kwa sitta, baadae kuona sitta katiba mpya imemkaanga akahamia kwa membe, sasa ameona upepo wote umehamia kwa lowassa ameamua kuhamia huko huko.

Niliona video ya maneno yale yale aliyoyaongea kwa sitta ndio hayo hayo kayarudia kwa mhe lowassa, jiandae for your downfallcoz wananchi washakudharau na huaminiki tena.

Akiwa na Membe na Sitta ni sawa lakini Kwa Lowassa ni downfall. Hoja hafifu na mfu unajaribu kuleta Kwa wapembuzi wa hoja. Hapa Mrisho Mpoto amesoma upepo na salama za nyakati na huo ndiyo usanii Wa kweli.

Ndugu yangu fahamu pia kwamba Wengi wameshaungama dhambi zao za usaliti dhidi ya ndugu Lowassa. The anonymous list of converts is long Mpoto is just an niddle in the Indian ocean.
 
Acheni ujinga ninyi, lowasa ni km maji msipokunnywa mtayahitaji muoge
 
LOWASSA ANASWA LIVE NA KAMERA AKITOA TSHS 50 MILLIONI, HUKU AKIAHIDI KUKAMILISHA MILIONI 500 ENDAPO KAZI YAKE ITAKUWA NZURI.

Taarifa zisizo na shaka ni kuwa
Makaonda alimtumia Mrisho Mpoto
katika mtego wake huo,Mpoto
aliufanikisha mtego huo pahala
alipopanga kuonana na Bwana
Lowasa kusalimia, kulikuwa na
camera maalumu zilizotegwa kwa
juu, alimsalimu na
kumuimbia mashairi Lowasa
ambayo yalimfanya Mh Lowasa
kufurahi na kucheka baada ya
kusifiwa na mashairi hayo.

Walikaa mezani na alimpa mpoto
milioni 50 hapo hapo akitaka
atunge wimbo nakubadilisha
mashairi ya kumsifia Mzee Sitta
na badala yake pamoja na wimbo
wa Mjomba uwe ukimsifia yeye
Lowasa,alimwambia kuwa ata mpa
milioni 500 endapo kazi hiyo
itakuwa nzuri na akiendeleea
kushirikiana nae katika safari
yake ya kwenda ikulu

Mara baada ya mazungumzo hayo
Mpoto alishtushwa sana na
kupigiwa simu na watu wengi sana
wakimlaumu kuwa anatumika
kisiasa na wana siasa na
kutumiwa kipande cha vidio
akimchekesha mfalme ili apate
kula

Tangu hapo Mrisho amekuwa
akilalamika sana kwanini
alirekodiwa bila yeye kujua na
kwa kamera ambayo ilikuwa
imefungwa juu ? na baada ya
kuonyeshwa kipande kizima cha
vidio hadi akipokea kiasi hicho cha
milioni 50,

Mpoto ameumia sana
amerejesha fedha zote akisema
hawezi shiriki rushwa na tayari
fedha hizo anazo Makonda ambapo
atazikabidhisha kwa kamati ya
maadili ya CCM pamoja na
ushahidi huo wa vidio

MAKONDA AMEPANGA KUWEKA
KILA KITU HADHARANI HIVI
KARIBUNI KUTHIBITISHA MANENO
YAKE YA AWALI MWAKA JANA
KUWA MH LOWASA AMEKUWA
AKIHONGA WATU MAMILIONI NA
KUKIHARIBIA CHAMA SIFA
KIKIONEKANA KUWA NI CHAMA
CHA MAPESA KWENDA IKULU na
kwakuona kipande chote cha vidio
ambayo Mpoto anachukua milioni
50.

mara
baada ya makonda kuzungumza na
wanahabari akikabidhi pesa hizo
kwa Mzee Mangula.

Uongo mwingine mtakatifu huo hapo huu!

Mpoto alikuwa ofisini kwa ndugu Lowassa je hapo kina CHABRUMA aka Makonda wana uwezo gani huo wakufunga kamera hizi.

Hatutaki uongo uliotukuka hapa, vijana type Makonda wasema hovyo wamekosa hekima na maarifa na ndiyo maana wamepotoka Kwa mujibu wa maandiko matakatifu.

Makonda afahamu kuwa busara endelevu ni ukimya na vilevile kuwa na akiba ya Maneno. Asikubali kutumika hivyo kwa kupewa sifa za kijinga, wakati wanaomtuma watabaki salama na kumuacha yeye kuonekana kituko.
 
LOWASSA ANASWA LIVE NA KAMERA AKITOA TSHS 50 MILLIONI, HUKU AKIAHIDI KUKAMILISHA MILIONI 500 ENDAPO KAZI YAKE ITAKUWA NZURI.

Taarifa zisizo na shaka ni kuwa
Makaonda alimtumia Mrisho Mpoto
katika mtego wake huo,Mpoto
aliufanikisha mtego huo pahala
alipopanga kuonana na Bwana
Lowasa kusalimia, kulikuwa na
camera maalumu zilizotegwa kwa
juu, alimsalimu na
kumuimbia mashairi Lowasa
ambayo yalimfanya Mh Lowasa
kufurahi na kucheka baada ya
kusifiwa na mashairi hayo.

Walikaa mezani na alimpa mpoto
milioni 50 hapo hapo akitaka
atunge wimbo nakubadilisha
mashairi ya kumsifia Mzee Sitta
na badala yake pamoja na wimbo
wa Mjomba uwe ukimsifia yeye
Lowasa,alimwambia kuwa ata mpa
milioni 500 endapo kazi hiyo
itakuwa nzuri na akiendeleea
kushirikiana nae katika safari
yake ya kwenda ikulu

Mara baada ya mazungumzo hayo
Mpoto alishtushwa sana na
kupigiwa simu na watu wengi sana
wakimlaumu kuwa anatumika
kisiasa na wana siasa na
kutumiwa kipande cha vidio
akimchekesha mfalme ili apate
kula

Tangu hapo Mrisho amekuwa
akilalamika sana kwanini
alirekodiwa bila yeye kujua na
kwa kamera ambayo ilikuwa
imefungwa juu ? na baada ya
kuonyeshwa kipande kizima cha
vidio hadi akipokea kiasi hicho cha
milioni 50,

Mpoto ameumia sana
amerejesha fedha zote akisema
hawezi shiriki rushwa na tayari
fedha hizo anazo Makonda ambapo
atazikabidhisha kwa kamati ya
maadili ya CCM pamoja na
ushahidi huo wa vidio

MAKONDA AMEPANGA KUWEKA
KILA KITU HADHARANI HIVI
KARIBUNI KUTHIBITISHA MANENO
YAKE YA AWALI MWAKA JANA
KUWA MH LOWASA AMEKUWA
AKIHONGA WATU MAMILIONI NA
KUKIHARIBIA CHAMA SIFA
KIKIONEKANA KUWA NI CHAMA
CHA MAPESA KWENDA IKULU na
kwakuona kipande chote cha vidio
ambayo Mpoto anachukua milioni
50.

mara
baada ya makonda kuzungumza na
wanahabari akikabidhi pesa hizo
kwa Mzee Mangula.
utumbo mwigine, Lowasa sio muuza unga wa kutembea na kitita kiubwa cha madafu. Makonda angekuwa na huo mkanda, asingesubiri muda wote huo. Mwisho, Mpoto na njaa kali inayomuandama, hawezi kukaaa hata elfu mbili
 
LOWASSA ANASWA LIVE NA KAMERA AKITOA TSHS 50 MILLIONI, HUKU AKIAHIDI KUKAMILISHA MILIONI 500 ENDAPO KAZI YAKE ITAKUWA NZURI.

Taarifa zisizo na shaka ni kuwa
Makaonda alimtumia Mrisho Mpoto
katika mtego wake huo,Mpoto
aliufanikisha mtego huo pahala
alipopanga kuonana na Bwana
Lowasa kusalimia, kulikuwa na
camera maalumu zilizotegwa kwa
juu, alimsalimu na
kumuimbia mashairi Lowasa
ambayo yalimfanya Mh Lowasa
kufurahi na kucheka baada ya
kusifiwa na mashairi hayo.

Walikaa mezani na alimpa mpoto
milioni 50 hapo hapo akitaka
atunge wimbo nakubadilisha
mashairi ya kumsifia Mzee Sitta
na badala yake pamoja na wimbo
wa Mjomba uwe ukimsifia yeye
Lowasa,alimwambia kuwa ata mpa
milioni 500 endapo kazi hiyo
itakuwa nzuri na akiendeleea
kushirikiana nae katika safari
yake ya kwenda ikulu

Mara baada ya mazungumzo hayo
Mpoto alishtushwa sana na
kupigiwa simu na watu wengi sana
wakimlaumu kuwa anatumika
kisiasa na wana siasa na
kutumiwa kipande cha vidio
akimchekesha mfalme ili apate
kula

Tangu hapo Mrisho amekuwa
akilalamika sana kwanini
alirekodiwa bila yeye kujua na
kwa kamera ambayo ilikuwa
imefungwa juu ? na baada ya
kuonyeshwa kipande kizima cha
vidio hadi akipokea kiasi hicho cha
milioni 50,

Mpoto ameumia sana
amerejesha fedha zote akisema
hawezi shiriki rushwa na tayari
fedha hizo anazo Makonda ambapo
atazikabidhisha kwa kamati ya
maadili ya CCM pamoja na
ushahidi huo wa vidio

MAKONDA AMEPANGA KUWEKA
KILA KITU HADHARANI HIVI
KARIBUNI KUTHIBITISHA MANENO
YAKE YA AWALI MWAKA JANA
KUWA MH LOWASA AMEKUWA
AKIHONGA WATU MAMILIONI NA
KUKIHARIBIA CHAMA SIFA
KIKIONEKANA KUWA NI CHAMA
CHA MAPESA KWENDA IKULU na
kwakuona kipande chote cha vidio
ambayo Mpoto anachukua milioni
50.

mara
baada ya makonda kuzungumza na
wanahabari akikabidhi pesa hizo
kwa Mzee Mangula.
Hizi siasa za kipumbavu za akina makonda hakika haziwezi kuisaidia kambi ya pili.unawezaje kutegemea Vijana wa hovyo kukuinua kisiasa kwa kutunga ushenz kama huu? Mbona kuna Vijana making wa kuwatumia ?
 
Mpotoaliwahi kutembelea UDOM,na kipindi hicho chuo kilikuwa kwenye migomo ya mfululizo kupinga uonevu uliokuwa unafanywa dhidi ya wanachuo.Mpoto alisema hivi;"ukitaka kuvuka mto wenye maji mengi na ukamkuta mtu kando ya huo mto na akakupa sharti kwamba ni lazima umwamkie mbwa ili uvushwe kwenda ng'ambo ya mto,basi kubali kumwamkia mbwa ili uvuke salama kwenda nga'ambo ya mto".Unategemea nini kutoka kwa msanii kama huyu? Mpoto hana sifa ya uanaharakati,bali ni mchumia tumbo tu.
 
Back
Top Bottom