Rais Kikwete awaonya UVCCM kuacha ukuwadi

mbona na yeye aliwatumia hao makuwadi uvccm alipokuwa anautaka urais!!!!!huyu jk ni mnafiki sana,miaka yote kumi amezurura dunia nzima kuombaomba,leo hii mwisho wa utawala wake umefika anawatukana wafadhi...ni wa kudharau tu huyu.

Kwani si ndio maana Lowassa na Rotsam wakimtishia 'nyau' tu ananywea na kuwa mdogo kama kuku alinyesheawa na mvua. Ni kwa sababu uchafu, mbinu, rafu na maufundi yote yaliyotumika kumtia madarakani 2005 ndio Lowassa & the Gang wanayotumia sasa.

Kama ikija kwenye kukemea kosa la matumizi makubwa ya pesa jamaa humkumbushia na yeye ile chenji ya Tshs 50 Billion ya wizi (EPA) iliyotumika kumkampenia na kumtia madarakani. Kwa hivyo JK amekosa 'moral authority' ya kumzima Lowasa ndio maana anatoa usongo wa hasira kwa hawa watoto wa watu wa (UVCCM) masikini ambao hata yeye mwenyewe aliwatumia mara mbili kama makuwadi wake husani kampeni ya term yake ya pili 2010.
 
Rais Kikwete amewalenga akina HAMY - D, MUSSA ALLAN, laki si pesa, Mingoi, Mzee, FaizaFoxy, Ocampo four, Ruttashobolwa, Ritz na wengine ndani ya UVCCM ambao wameamua kuwa makuwadi wa fisadi Lowasa

Mkuu kwa mwelekeo huu ndani ya uvccm,huoni kuwa tayari pana ufa mkubwa?kwani tayari kuna pande tofauti tofauti?
 
this guy is creating more enemy that he wont be able to handle akitoka kwenye urais, cjui kwa nn anadhan akitoka kwenye urais ataendelea kua na power izi izi.... he will know better akitoka

Mkuu kwa system ya utawala wetu tuliyo nayo rais mstaafu ataendelea kuwa salama kabisa.
 
Rais Kikwete amewalenga akina HAMY - D, MUSSA ALLAN, laki si pesa, Mingoi, Mzee, FaizaFoxy, Ocampo four, Ruttashobolwa, Ritz na wengine ndani ya UVCCM ambao wameamua kuwa makuwadi wa fisadi Lowasa
Weee nawe!! Hii mibabu na mibibi unasema wako ndani ya UVCCM!!!
 
wewe unataka upewe msaada kwa masharti kuwa ukitaka usaidiwe lazima upitishe sheria ya ushoga

Huyu ni mnafiki ,siku zote za utawala wake wa miaka 10 hajawahi kusema hivyo ,kakopa weeeeee, Bajet ya mwisho wa utawala wake anasema Tusikubali mikopo ya mashart :A S-rap:
 
mbona na yeye aliwatumia hao makuwadi uvccm alipokuwa anautaka urais!!!!!huyu jk ni mnafiki sana,miaka yote kumi amezurura dunia nzima kuombaomba,leo hii mwisho wa utawala wake umefika anawatukana wafadhi...ni wa kudharau tu huyu.

Kikwete anapambana na mbinu alizotumia yeye kufikishwa nipo alipo.Ni km vile anakimbia kivuli chake mwenyewe!
 
Matamko ya mkuu wa nchi hii ya watanganyika yanashangaza saaaana! Hivi kuna Rais yeyote yule kwa hivi karibuni ambaye hakutafuta kuungwa na hawa vijana wachumia matumbo aka uvsisiemu? Ex Tanganyika semper aliquidi novi.Kila kukicha lazima kutazaliwa na kituko Tanganyika.
 
JK bana, mwenyewe aliwatumia sanaaa, sanaaaa hawa vijana kuingia Ikulu, leo anawaonya nn..!!? Kituko hiki, jamani, au sbb Lowassa ana nguvu kubwaaa kwa hawa vijana sasa, na sbb hampendi hv, ndio anawaonya..!!? mbona yeye aliwatumia sanaaaa...!!!? CCM itakufaa very soon, SAUTI YA WATU, SAUTI YA MUNGU....!!! CCM inacheza na Lowassa, ebu wafanye research ndogo tu mitaani, au ktk daladala, mabasi, radios, tv, news papaers, kila kona, ni Lowassa, Lowassa, mm sijui CCM ndio inakufa kweupeee..!!!

Ila kifo kinakuja kwa njia ya AJABU sana sometimes, HADI UKIKIONA NDIO UTAKUBALI WHILE WILL BE TOO LATE...!!

CCM YANGU, itabakia historia, once this time watacheza na Lowassa, na niweke wazi, UKAWA hawatamtangaza mgombea wao hadi wajue, MGOMBEA WA CCM, wakiwa na imani ikiwa CCM itamwacha Lowassa, basiiiiiiiiii, liwalo na liwe, wanamchukua, CCM ITABAKIA HISTORIA....!!!" mtaja niambia, CCM YANGU INAKUFAA...!!!😷😷

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa,amewaonya baadhi ya wanachama wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi kuacha kuwa makuwadi wa baadhi ya viongozi wanaotaka urais kupitia chama hicho.

Duu! Kumbe hata Rais wa nchi amewagundua hawa vijana wanaotumika kisiasa ?
 
JK bana, mwenyewe aliwatumia sanaaa, sanaaaa hawa vijana kuingia Ikulu, leo anawaonya nn..!!? Kituko hiki, jamani, au sbb Lowassa ana nguvu kubwaaa kwa hawa vijana sasa, na sbb hampendi hv, ndio anawaonya..!!? mbona yeye aliwatumia sanaaaa...!!!? CCM itakufaa very soon, SAUTI YA WATU, SAUTI YA MUNGU....!!! CCM inacheza na Lowassa, ebu wafanye research ndogo tu mitaani, au ktk daladala, mabasi, radios, tv, news papaers, kila kona, ni Lowassa, Lowassa, mm sijui CCM ndio inakufa kweupeee..!!!
Ila kifo kinakuja kwa njia ya AJABU sana sometimes, HADI UKIKIONA NDIO UTAKUBALI WHILE WILL BE TOO LATE...!!

CCM YANGU, itabakia historia, once this time watacheza na Lowassa, na niweke wazi, UKAWA hawatamtangaza mgombea wao hadi wajue, MGOMBEA WA CCM, wakiwa na imani ikiwa CCM itamwacha Lowassa, basiiiiiiiiii, liwalo na liwe, wanamchukua, CCM ITABAKIA HISTORIA....!!!" mtaja niambia, CCM YANGU INAKUFAA...!!!

UKAWA hawawezi kumsimamisha Lowasa hata wakipewa bure. Wakifanya hivyo basi nao watakua wamekula matapishi yao wenyewe. Tunataka mabadiliko sio mradi raisi
 
Wee unaongea kama ww, UNABISHANA na Mbowe, Dr. Slaa, maalim seif, ww ni nani UKAWA...!!? huku Viongozi wa kuu wa UKAWA ndio target kubwa kwao ni LOWASSA akiachwa na CCM mara moja wanamchukua..!!? sasa ww ni nani ukawa...!? mpigie Mbowe, Slaa, Lipumba, Mbatia, hawawezi kutangaza mgombea wa UKAWA hadi CCM watangaze wa kwao... ili mchezo uchezwe sasa...

Au unajua naongea bila ushahidi..!? ww si uko UKAWA...utabakia UKIWA...subiria uone...au ulizia viongozi wako wa UKAWA NAYOSEMA...najua labda hawata kuambia wazi...ila mark my words...utaja sema..!!!

UKAWA hawawezi kumsimamisha Lowasa hata wakipewa bure. Wakifanya hivyo basi nao watakua wamekula matapishi yao wenyewe. Tunataka mabadiliko sio mradi raisi
 
mbona na yeye aliwatumia hao makuwadi uvccm alipokuwa anautaka urais!!!!!huyu jk ni mnafiki sana,miaka yote kumi amezurura dunia nzima kuombaomba,leo hii mwisho wa utawala wake umefika anawatukana wafadhi...ni wa kudharau tu huyu.
Nyabingi mmmmm
 
Wee unaongea kama ww, UNABISHANA na Mbowe, Dr. Slaa, maalim seif, ww ni nani UKAWA...!!? huku Viongozi wa kuu wa UKAWA ndio target kubwa kwao ni LOWASSA akiachwa na CCM mara moja wanamchukua..!!? sasa ww ni nani ukawa...!? mpigie Mbowe, Slaa, Lipumba, Mbatia, hawawezi kutangaza mgombea wa UKAWA hadi CCM watangaze wa kwao... ili mchezo uchezwe sasa...

Au unajua naongea bila ushahidi..!? ww si uko UKAWA...utabakia UKIWA...subiria uone...au ulizia viongozi wako wa UKAWA NAYOSEMA...najua labda hawata kuambia wazi...ila mark my words...utaja sema..!!!

We ni great thinker
 
JK bana, mwenyewe aliwatumia sanaaa, sanaaaa hawa vijana kuingia Ikulu, leo anawaonya nn..!!? Kituko hiki, jamani, au sbb Lowassa ana nguvu kubwaaa kwa hawa vijana sasa, na sbb hampendi hv, ndio anawaonya..!!? mbona yeye aliwatumia sanaaaa...!!!? CCM itakufaa very soon, SAUTI YA WATU, SAUTI YA MUNGU....!!! CCM inacheza na Lowassa, ebu wafanye research ndogo tu mitaani, au ktk daladala, mabasi, radios, tv, news papaers, kila kona, ni Lowassa, Lowassa, mm sijui CCM ndio inakufa kweupeee..!!!

Ila kifo kinakuja kwa njia ya AJABU sana sometimes, HADI UKIKIONA NDIO UTAKUBALI WHILE WILL BE TOO LATE...!!

CCM YANGU, itabakia historia, once this time watacheza na Lowassa, na niweke wazi, UKAWA hawatamtangaza mgombea wao hadi wajue, MGOMBEA WA CCM, wakiwa na imani ikiwa CCM itamwacha Lowassa, basiiiiiiiiii, liwalo na liwe, wanamchukua, CCM ITABAKIA HISTORIA....!!!" mtaja niambia, CCM YANGU INAKUFAA...!!!&[HASHTAG]#128567[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128567[/HASHTAG];
Uliyaonaaa
 
Back
Top Bottom