Recent content by Nnko

  1. N

    Makafara yanatumaliza wafanyakazi benki ya Posta

    Sasa benki ina wafanyakazi 1000+ Halafu wamekufa watatu mmoja kwa kuuliwa na majambazi, mwingine alifanyiwa operation akiwa anajifungua hospital hawakuwa na damu ya kumwongezea watatu nae ni operation Sasa Unataka Una ushahidi?
  2. N

    Kwanini siponi Amoeba? Je, kuna uhusiano gani kati ya Amoeba na Minyoo ya Ascaris?

    Saidieni wagonjwa ndg zangu madaktari ikiwezekana wasikiana na mgonjwa huyu umuite mzungunze Ana kwa ana. Wengi tunaumwa mno
  3. N

    Ndalichako aingilia kati wanafunzi waliofutiwa usajili UDSM

    Unataka kulinganisha UDSM na chuo gani hapa Tanzania??
  4. N

    Kwanini Watanzania wamekuwa wagumu kutumia tofali za Hydrafom?

    Matofali haya ni mazuri sana na ni imara mnooo
  5. N

    Naomba kufahamu riba ya mikopo bank ya posta

    Bank ya Posta Riba ni 15% flat kwa wafanyakazi !! Aidha kuna Idara ambazo riba yake iko chini zaidi MF PCCB Na VETA
  6. N

    Benki ipi nzuri ya kukopa

    Ukikopa Tanzania Postal Bank hutojutia uamuzi wako Kamwe in terms of riba Na muda Wa kupata mkopo
  7. N

    Ni benki gani inatoa mkopo bora kati ya NMB na CRDB

    Tanzania Postal Bank ( TPB ) hutojuta!!
  8. N

    Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

    Ni biashara nzuri inaweza kufanyika maeneo mengi hasa miji mikubwa
  9. N

    Sasa ni rasmi Rais wa TFF, Jamal Malinzi amehusika na upangaji matokeo

    Huyu Malinzi ni tatizo kubwa pale TFF akishirikiana Na Wambura Boniface
  10. N

    TUHUMA ZA RUSHWA BUNGENI: Wabunge Kangi Lugola, Victor Mwambalaswa na Sadiq Murad waburuzwa mahakamani

    Wakati mwingine siasa ina mchezo mchafu ndani yake hivyo tusilazimishe tuu kuwa ni wezi.
  11. N

    TUHUMA ZA RUSHWA BUNGENI: Wabunge Kangi Lugola, Victor Mwambalaswa na Sadiq Murad waburuzwa mahakamani

    Mh Kangi naomba kwa Idhini ya Jamii Forum nivae Kofia ya Kininja ili nisikuonee huruma kabisa !! Mh naomba pia nivae shati la chama ili kuonesha jinsi chama kilivyokerwa Na hili jambo
  12. N

    Website ya Mkoa wa Arusha ni kichefuchefu

    Tukubaliane hivyo Jambilo au vipi mkuu
  13. N

    Website ya Mkoa wa Arusha ni kichefuchefu

    kumbuka halmshauri ya Meru iko Usa river.
Back
Top Bottom