Recent content by nkyagila

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nipo kwenye basi hili lijamaa linasoma mgs zangu nimegeuza kamera nikalinasa

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Taarifa ya Katizo la Umeme kwa baadhi ya Mikoa

    Nimesoma tangazo lenu Tanesco la katizo la umeme kuanzia saa 2.00 asubuhi mpaka saa 11.00 jioni Jumamosi na Jumapili, ajabu ni kwamba mpaka ninapoandika hapa saa 12.37 umeme haujarudi, na hiyo ndio imekuwa kasumba yenu. Siku nyingine mnaukata saa 12.00 alfajiri mpaka saa 1 jioni. Halafu semeni...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tanesco Temeke kunani?

    Jamani uongozi wa Tanesco Temeke na baadhi yenu najua mko humu JF, tunawaomba tuko chini ya miguu yenu lakini hatuwach...lii, mtuhurumie rudisheni umeme angalau hata kwa nusu saa tuchaji simu zetu, hapa nimeomba msaada kwa mwenye jenereta ili nishtue kidogo, tafadhali....
  4. N

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya BROOKSIDE yana sumu?

    Mie nataka kuwa wakala wa hayo maziwa ya brookside, kwa mwenye uelewa tafadhali naomba maelekezo aidha ya contact zao, namaanisha Kenya. Msaada please!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Kikwete kuzindua jengo hili Moshi mjini kesho

    Hizi siasa bwana, yaani ule mji haueleweki hakuna maendeleo yoyote, vikao vya council havifanyiki wamekaa kwenye malumbano yasiyo kuwa na maana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Airtel wanakusanya pesa ya ist?!!

    Hata sijui tuhamie mtandao gani maanake yote ni mijizi tu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Airtel wanakusanya pesa ya ist?!!

    Nimesikitishwa sana na tabia ya hii ya airtel, naona wanatumia nguvu sana ya kuiba pesa za wateja wao kulipia hizo IST. Mie nina utaratibu wa kuweka kifurushi cha yatosha cha Tshs.10, 000/- kikiwa na gb 800 kwa ajili ya matumizi ya mwezi,hivyo niliweka kifurushi wiki jana lakini huduma ya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    Huku Tanescrow walifanya yao sikuona, kwani wazee walitoa feedback gani?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Escrow

    Ana ashki majnuni
  10. N

    JamiiForums Tanzania Basi la MWANZA COACH latumbukia mtoni

    Hili ndio lile lililoua watu zaidi ya 60 katika ajali iliyohusisha na basi jingine la J4, na likafutiwa liseni au?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa ESCROW kunyang'anywa hati za kusafiria!!

    Kwani ndogo hizo?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi na viwanja katika manisipaa ya Bukoba

    Mie nilidhani huo mchezo ni huku Musoma, kumbe mpaka huko?! :confused:
  13. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Nahitaji hiyo sehemu uliyoifanyia/unayofanyia biashara kama bado unaimiliki.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Nahitaji hiyo sehemu uliyokuwa au unayoifanyia biashara kama bado unaimiliki.
Back
Top Bottom