Wanajamvi napenda kufahamishwa juu ya upatikanaji wa kiwanja kama tangazo la viwanja lilitoka, ukalipa malipo ya awali ila mpaka sasa unakwenda mwaka wa pili toka 2012 November ila mpaka sasa hakuna lolote linalosemwa kila ukienda wanasema bado. Hawa watu wa ardhi ni shida kweli kweli maana hapa wamekuwa Mungu Mtu. Nakumbuka walisema endapo hutopata kiwanja utarudishiwa pesa zako ila mpaka sasa naona kimya au wanataka hizo pesa tuwadai na riba? Ushari wenu ni wa muhimu wakuu
Ni manispaa ya Bukoba mkoa Kagera.
Ni manispaa ya Bukoba mkoa Kagera.