Maziwa ya BROOKSIDE yana sumu?

Maziwa ya BROOKSIDE yana sumu?

Watatumaliza kwa tamaa zao

Kwa Watanzania hadi uwaambie yanapunguza nguvu za kiume ndio watayaacha. Nilikua Kenya karibuni, hizi product wanazo export hasa Tanzania huwa hazina ubora kama wanazotumia wao na kwa mtu kama Uhuru Kenyatta mwenye tamaa ya kutaka kila kila kitu kiwe chake, sibishi.

Huyu anaweza kutuhujumu hata kama madhara tutayaona baada ya miaka 10 kama aliweza kuongea na magaidi wakateka westgate mall ili tu avute hisia za wakenya wakasahau ya ICC. Sishangai, binafsi hizo tetesi sio mara ya kwanza kiziskia humu hayo maziwa ya BROOKSIDE nilishaachaga kitambo sana.

Hizi taariifa zimekuja zimechelewa sana utashangaaa watu watabisha kwa siasa za TZ sitashangaa jamaa alitoa mkwanja na bidhaa zake mbovu ziko sokoni niwakumbushe hivi yuko wapi boss wa TBS ikelege ?.......tafakari salam zao segadansa
 
Ukitaka kumjua Uhuru Kenyatta muulize Raila Odinga ambaye juzi kuhujumiwa kwa maisha ya kijana wake kuuwawa. Uhuru Kenyatta is a devil like any other devil, toka lini nchi ikaongozwa na ganja smoker... Wanaobisha kuhusu haya maziwa niwape home work wanywe mfululizo kwa siku 7 waje na mrejesho hapa...
 
Hapana mkuu... maziwa hayo hayawekwi chochote zaidi ya kuwa heated at a very high temperature in very short period/time na then kupoozwa very fast... na hii ndio technique pekee inayofanya yanakua na very long shelf life kuliko yanayochemshwa kwa njia ya kawaida

Nimekupata sana, ni kweli yana lebo ya UHT (ultra heat treatment). ni kwamba hayo maziwa yanachomwa kwa sekunde 2 tu kwa nyuzi joto 140 centigrade. making them to stay about 6 months in room temperature without getting spoiled.
 
Jamaa do you know the difference btw pasteurized and uht milk, ukiitwa mjinga baada ya hii usilaumu mtu

Sasa huyu jamaa na wenzake wanao muunga mkono watasema walienda shule na wakapata mafunzo, ulipokea faida gani kuhudhuria shule

wewe ---- eleza watu wajue na kubwabwaja kama vile unakunwa.
 
Hapana mkuu... maziwa hayo hayawekwi chochote zaidi ya kuwa heated at a very high temperature in very short period/time na then kupoozwa very fast... na hii ndio technique pekee inayofanya yanakua na very long shelf life kuliko yanayochemshwa kwa njia ya kawaida

Hiyo process inaitwa pasteurisation na inaua bakteria wowote wanaostahimili joto au baridi. Hata hivyo huku Arusha bila brookside chai ya maziwa shida! Bakhresa ongeza uzalishaji.
 
kama ni kweli mi ndo nimeathirika kabisaaaa ndio maziwa bora na salama niyajuayo
 
Patrickn

Si kweli hata kidogo, nimetumia hayo maziwa kwa miaka mingi kuna siku nilifungua packet agriii nikakutana na lastic like ashakum si matusi condom, na baada ya kuangalia kwa ufahamu wangu wa kilay person nikawaza ile itakuwa kwa ajili ya storage, mdada niliyekuwa naye hakuwahi kuyanunua tena
 
Last edited by a moderator:
Hua yanaleta vipele na muwasho kwa watoto wadogo na pia yana kemikali ambazo ni harmful kwa wanyama ukitaka kujaribu mpe mbwa kwa siku tatu mfululizo kisha njoo utaleta mrejesho hapa. By da way nilishaachaga mda mrefu kunywa ni bora protein za mchuzi wa pweza kuliko maziwa ya brookside.
#nobrookside #

Umesema kweli mkuu, kuna kitu hakiko sawa kwa haya maziwa ya brookside
 
Ukitaka kumjua Uhuru Kenyatta muulize Raila Odinga ambaye juzi kuhujumiwa kwa maisha ya kijana wake kuuwawa. Uhuru Kenyatta is a devil like any other devil, toka lini nchi ikaongozwa na ganja smoker... Wanaobisha kuhusu haya maziwa niwape home work wanywe mfululizo kwa siku 7 waje na mrejesho hapa...

Yupo ndugu yangu hanywi pombe anaishi healthy anadai performance yake kwa bedi imedropu vibaya alipo fululiza kunywa hayo maziwa, kaenda kuchekiwa Nairobi wacha aje anipe mrejesho
 
Wanataka kupiga marufuku maziwa ya Kenya kuingia Tanzania baada ya Kenya kukataza magari ya Tanzania kuingia JKIA, kitu ambacho kitaadhiri vibaya utalii wa Tanzania. Lakini hawawezi kuamka na kupiga stop moja kwa moja, kwa hiyo lazima watumie excuse kama hii. Wakenya nao wanatumia hii excuse kuzuia bidhaa za Azam kuuzwa Kenya. Hii ni smear campaign tu.
 
Mie nataka kuwa wakala wa hayo maziwa ya brookside, kwa mwenye uelewa tafadhali naomba maelekezo aidha ya contact zao, namaanisha Kenya. Msaada please!
 
Ogopa sana maziwa au juice inayodumu kwenye shelf kwa muda mrefu bila ya kuharibika, hapo wameweka sumu nyingi sana. Mfano wa maziwa ya aina hiyo ni pamoja na Azam milk. Nunua Tanga fresh, ASAS brookeside na AZAM
 
Hua yanaleta vipele na muwasho kwa watoto wadogo na pia yana kemikali ambazo ni harmful kwa wanyama ukitaka kujaribu mpe mbwa kwa siku tatu mfululizo kisha njoo utaleta mrejesho hapa. By da way nilishaachaga mda mrefu kunywa ni bora protein za mchuzi wa pweza kuliko maziwa ya brookside.
#nobrookside #

Mkuu muwe mnaleta vitu vyenye evidence sio kuwa na assumption. Mimi nimeyatumia hayo maziwa zaidi ya 3 carton consecutive kwa sababu maalum sijapata madhara yeyoye. Kuna mtoto wa sisy angu pia hutunia hayo maziwa na ana below 1year hajapata madhara yeyote

Wadau vitu vingine huwa ni ushindani wa kibiashara tu...
 
Back
Top Bottom