Recent content by Nkwilima Jr

  1. Nkwilima Jr

    Mtego aliotegewa Abdul Nondo na "watekaji" wake,hauna tofauti na ule wa Odwang Odwaa mwanafunzi Mganda UDSM

    Busara ni kwa ajiri ya watu wachache sana. Umenikumbusha mbali sana.
  2. Nkwilima Jr

    Makamanda wa Polisi (Iringa & Dar) watofautiana sakata la Abdul Nondo

    Tatizo la huyu Mambo "now" anakasikilizaga mno kabashite.
  3. Nkwilima Jr

    Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

    Nakumbuka siku ya pepa la Physics,,sikuweza swali hata moja,,,sasa kituko siku ya practical,,yaan nilishindwa hata kuunganisha betri. Hatimae nika deferentiate constant kwenye hilo somo. Ingawa Mathematics na GEOGRAPHY nilipata D D. Kiukweli Physics ya Advance inahitaji Uvumilivu.
  4. Nkwilima Jr

    TANZIA: Diwani wa CHADEMA Kata ya Namwawala mkoani Morogoro auawa kwa kukatwakatwa mapanga

    Kosa kubwa tulilifanya 25/10/2015.Matokeo yake hayakuonekana kipindi hicho, Ni Miaka ya Majuto,,tutapotea wengi,,wanaotupoteza watatumaliza na hapo ndipo Watageukana wao wao.
  5. Nkwilima Jr

    Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Maisha ni Malengo,,chukulia jamaa ameanza kuweka akiba ya 150000 kwa mwezi Kuanzia mwaka 2000 mpaka sasa atakuwa na shs ngapi?? Piga hesabu.
  6. Nkwilima Jr

    Waungwana wamvaa Joyce Kiria

    Eti mwanaharakati wa masuala ya wanawake,,,laana zingine mnajitafutia tu,,,Ndoa za wazazi wetu zilidumu miaka mingi na hao wanaharakati hawakuwepo,,mama zetu walipewa vipigo to the maximum,,akitoroka kurudi kwao nako alipokelewa kwa kipigo na kurudishwa kwa mmewe,, Sahivi wanawake wanaishi...
  7. Nkwilima Jr

    Leo ndo nimeamini BIKO wanapanga washindi wao

    Mpaka nikawa najiuliza au matajiri wao hawachezi??? Uwizi mtupu.
  8. Nkwilima Jr

    Leo ndo nimeamini BIKO wanapanga washindi wao

    Swali lilikuwa linanitesa sana hili,,,Yaan kila mshindi lazima awe hewani. Haraf washindi asilimia kubwa wa Dar.
  9. Nkwilima Jr

    Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

    Asilimia kubwa ya wasukuma hawana ujanja kwa akina "Cheupe Dawa" . Naota kuna babu Seya mwingine atakula mvua. Labda tu kama mwenye cheupe dawa awe mwoga,,ila akianza kufuatilia tu,,mtamsikia.
  10. Nkwilima Jr

    Kuhusu Wastara, Hapana TUMSAIDIE!

    Hii laana haitamuacha mtu salama.
  11. Nkwilima Jr

    Kuhusu Wastara, Hapana TUMSAIDIE!

    U have made me to laugh. Eti wimbo wa Masimango!!!,,,
  12. Nkwilima Jr

    Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

    Women are very complicated creatures. Kama ni Akili nyingi basi zitumie unapoishi na hawa Viumbe na hasa hasa hawa waumini wa 50/50.
  13. Nkwilima Jr

    Cyprian Musiba: Sasa nitafia kwenye siasa!

    Wajita Walio wengi wanajielewa,ila sio kwa huyu Cyprian Musiba.
  14. Nkwilima Jr

    Utaoa yupi hapa!!

    Mbitiyaza na beef lasagna,kwangu mitaala ndo kila kitu. Huyu mbitiyaza ni mtaalamu wa kupika ugali mgumu kwahio atakuwa mke mkubwa.
Back
Top Bottom