ni biashara bahri sana ukijituma na kuwa na murjani ya pesa kwa sababu ili uone faida inabd hela iwepo mda wote mtu akitaka niweka kuota Chagua sehemu yenye watu wengi na posho yake ni mrefu sana
kufanya kaz na wahindi inabid uwe na dhiki vinginevo itakushinda mshahara sisimizi kaz tembo mazingira duni masharti kibao hakuna ubunadamu hawa watu Tz wasepeshwe
habarin wana jamvi naombeni kwa yeyote anaefahamu shule nzuri ya nursary au msingi ya kulipia naomba na contact zao kama unazijua utanisaidia sana. asante
mm wameniita ktk interview jtatu tar25/3 nende na cv inaonyesha wako serious coz nimechek ktk website yao wanahusika maswala ya online school management system link hii Centralized Student Information System lkn kwa registered schools ndo mzaz unaweza kulogin. nazan ni sehem ya ukwel kujaribu c...
msidanganyike kirahis hivo hao watu waliambiwa ndio wafanye kaz ya kuuza line na modem za vodacom kuptia mshiko chap chap yan First Recharge Comission(FRC) na walikua wasichana kwa sabu ya kujiona wao wana degree nzuri wakakataa kama wabongo walivo unajifanya bishoo wakati ela huna mim nna...
hey JF's why ar u so egocentric to that far? i humbly requested for a contact for such a good will, why do u twist ur mind in that fake idea? naomba namba ili anisaidie kitu cha msingi co ujinga huo mi nna heshima zangu jamani
habarini wanajf mimi ni mkaka nna shida na mdada yeyote ambae amechaguliwa pale chuoni nna mambo mazuri na ya heshima nataka anisaidie. naomba tuwasiliane kwa email, nkwilehii@gmail.com au namba 0653 639214
karibu katika IT field ila jitahid kuelewa mambo na sio kukariri, jitahid kuvijua vitu practical badala ya kung'ang'ania maandishi ili ufaulu pepa tu baada ya kumaliza kuna mtiti mzito
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.