erolink upumbavu mtupu na matapeli

erolink upumbavu mtupu na matapeli

Kama huwafaham erolink utawashabikia lakin wale jamaa ni kikundi cha matapeli.....
 
Kwani what is customer care? Hebu define then ujijibu! Kuna tofauti kati ya sales na customer care.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hyo ilikua strategic mana mngeambiwa tangu mwanzo mngepiga kazi chini...

Wanawapima 2 tolerance yenu! Kuna position nzuri watakuja kuwapa! Hawawez ku incur cost unnecesarily kat kuna cheap labour than dat! Try n c! Wote wanaanza frm scratch!!
 
Kampuni zingine bana,hata licence siuji wanapataje,eti recruitment agency,hell no
 
wewe ata masters ni education level.
kwa iyo unaona sawa kitendo walichofanya awa jamaa wa ero link?
 
nakushauri ucende kufanya kaz na hao jamaa ata kama una njaa vp!
ucckilize wapuuz wanaokuambia degree ni kama form six, hao jamaa ni wanyonyaji vbaya mno!
utapoteza muda wako bure plus kazi zao hazikujengi kabsa bora ata ukafanye volunteering sehemu zngne.
speaking from experience
 
Tatizo la mabishoo wa mji huu wanadhani ukipata kidegree basi ajira TRA tu. Hebu achezi uzembe kauzeni vocha modem n line uko.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tatizo la mabishoo wa mji huu wanadhani ukipata kidegree basi ajira TRA tu. Hebu achezi uzembe kauzeni vocha modem n line uko.

Sent from my BlackBerry 9300 using
JamiiForums

Kama wanayouwezo wa kupata hiyo 3500 per day wakae nyumbani! Ila kama hata hela ya nauli na vocha za kuzungusha bahasha mjini hawana wakapige kazi tu. Wengi wao hata hela ya kutoa copy vyet hawana hadi walie kwa wazazi kama watoto wa primary! Vijana wanawaza kutoka chuo kupata kazi ofisi za viyoyozi na ku drive mjini!..hakuna tena bum mtaani na ukishapewa elimu na mzazi hakuna tena mambo ya kuomba hela nyumban sijui nauli na vocha! Waende kufanya kazi wajenge na c v zao waache kilialia na kulala nyumban muda wote! Umri unakwenda jamani!
 
Mkuu uko sahihi.. Kuna kitu nataka kuwaambia hawa raia wahenga wanasema mwenda bure si mkaa bure.. Ukiwa kazini lazima utapata michongo mingine tofauti na ukiwa home 2 au ukitembeza bahasha za kaki mjini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nawashauri pigeni mzigo! Chukueni kazi hizo. Kwenye sekta binafsi wanaangalia sana productivity na creativity yako! Cheti kajivunie serikalini. Kuna watu ni wanapiga kazi za sales, marketing kwenye sekta binafsi wana diploma tu lkn kazi zao zinatambulika. Private sekta cheti wanaona mzigo kwao, yaani ukiwa na cheti demand ya mshahara na mambo mengine inakuwa kubwa. Sijasema watu wasisome lkn degree zipo customer care za kumwaga yaani so jishusheni kuna watu wanakula bata sasa hivi wakati walianzia huko huko
 
nakushauri ucende kufanya kaz na hao jamaa ata kama una njaa vp!
ucckilize wapuuz wanaokuambia degree ni kama form six, hao jamaa ni wanyonyaji vbaya mno!
utapoteza muda wako bure plus kazi zao hazikujengi kabsa bora ata ukafanye volunteering sehemu zngne.
speaking from experience

hahaha
 
msidanganyike kirahis hivo hao watu waliambiwa ndio wafanye kaz ya kuuza line na modem za vodacom kuptia mshiko chap chap yan First Recharge Comission(FRC) na walikua wasichana kwa sabu ya kujiona wao wana degree nzuri wakakataa kama wabongo walivo unajifanya bishoo wakati ela huna mim nna degree na nnafanya hiyo kazi unlipwa sh elf 16 daily kasoro wkend, wabongo mapoz mmezid degree ina mana gan wakati ela huna kwan hyo customer care walotaka ni sh ngap useme ni ubishoo ndo umewafukuza lakn wajamaa wa vodacom wako vizuri hawan ubaya na mtu.
ubishoo unatultea umasikin Tz wale madogo wengi wao std 7 au form 4 kaz yao ni kugonga bango wanalipwa sh 7500 nan kakwambia 3500 ni uongo mtup
 
Sidhani kama ni busara kukubaliana kazi flan kisha upewe nyingne. Wangeweka wazi kuwa kazi ni hii, au mtaanza hapa kisha pale. Wameogopa nn kuweka wazi kwa umma?!! 3500 kwa siku sio mbaya kama inakulipa, pia kuuza line na modem sio tatizo kama umeamua na unajua nn unafanya; lakini wandugu hilo la kuchezewa akili nalo mnalionaje? Binafsi nashkuru kwa kugundua kuwa wapo watu/taasisi -enye sifa kama hizo za erolink. Kama muajiri unaonyesha ubabaishaji mapema, iweje mimi nikuamini na kuweka matumaini ktk hiyo kazi? Hatuna kazi, tunatafuta kazi, kupata kazi ni kazi, tunaheshimu kazi; lakini heshima zetu nazo tupewe. Hebu jaribu kutafakari athari kwa makundi mbalimbali ya kijamii na pengine kwa taifa kabisa kwa kutuchezea na kutuvuruga akili zetu namna hiyo. Mimi si miongoni mwa walokutwa na hayo maswaibu, but i declare interest that, 'am a job seeker'. Hivyo nachelea kukutana na sampuli hizo
 
msidanganyike kirahis hivo hao watu waliambiwa ndio wafanye kaz ya kuuza line na modem za vodacom kuptia mshiko chap chap yan First Recharge Comission(FRC) na walikua wasichana kwa sabu ya kujiona wao wana degree nzuri wakakataa kama wabongo walivo unajifanya bishoo wakati ela huna mim nna degree na nnafanya hiyo kazi unlipwa sh elf 16 daily kasoro wkend, wabongo mapoz mmezid degree ina mana gan wakati ela huna kwan hyo customer care walotaka ni sh ngap useme ni ubishoo ndo umewafukuza lakn wajamaa wa vodacom wako vizuri hawan ubaya na mtu.
ubishoo unatultea umasikin Tz wale madogo wengi wao std 7 au form 4 kaz yao ni kugonga bango wanalipwa sh 7500 nan kakwambia 3500 ni uongo mtup

Ni 3500 kwa Euro Link sisi kuna ndugu yetu tumeamua tumlipe tu hio 3500 kuliko akachomwe na jua kwa kushika bango! Promotion gani ile Roll up banner hawazioni?????????? Mbona mwananchi wanaweka Banner bila kumchresha mtu?

Euro link waki bargain na voda 7000 lazima wakukate charge yao
 
Back
Top Bottom