Recent content by Nkwe2RG

  1. Nkwe2RG

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Habari Mkuu Mi naomba uzoefu wako kuhusu usalama wa hizi zinazoitwa SUPPLEMENTS [Tiba Lishe]. Hususani hizi za nje ya nchi zinazotangazwa kwenye social media k.v. Instagram. Kuna hii tibalishe naiona sana Instagram inaitwa VISIORAX. Hii imeshaingia Bongo na unatumiwa popote ulipo baada ya...
  2. Nkwe2RG

    Malezi yapi sahihi? Watoto wengi wa matajiri pesa zinawaharibu sana!!

    Samahan mkuu... kwa upande wako unaona shida ilianzia wapi hasa kiasi ukaathirika na mapesa ya wazee wako? Tuna la kujifunza kwako, mkuu
  3. Nkwe2RG

    Nawapongeza Waislam kwa mambo haya

    Karib... rudi kwenye dini ya maumbile yako, mila ya baba yetu Ibrahim (a.s).
  4. Nkwe2RG

    Mnaosema Yesu ni Mungu msisahau kuwa Yesu alikuwa fundi seremala ili kujipatia riziki yake

    Haina tatizo mimi kuwa na upeo mdogo ilimradi tu sjaukosa kabisa Ewe omoghaka mwenye upeo mkubwa, tofautisha "atamwita jina.." na "atakuwa". Jina kwa mtu linabeba maana tu ili atambulike na aitike kwalo wala halimpi uungu. Isaya 7:14 Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira...
  5. Nkwe2RG

    Mnaosema Yesu ni Mungu msisahau kuwa Yesu alikuwa fundi seremala ili kujipatia riziki yake

    Mitume na Manabii wote huamriwa/hutumwa na Mungu kuja kwa watu duniani kuleta sheria, bishara/habari njema ama maonyo. Yesu naye ni kama wao tu. Yohana 8:42 Yesu akawaambia, Kama Mungu angekuwa baba yenu, mngenipenda mimi; kwa maana nalitoka kwa Mungu, nami nimekuja; wala sikuja kwa nafsi...
  6. Nkwe2RG

    Choo cha Kisasa cha Kukalia na Karaha /Adha zake kwa Jamii ya Kitanzania.

    Hhahahah ila tuwe makin mkuu, sink ikipasuka ukiwa pale juu ni balaa... inakata paja au msamba kama chainsaw. Mwenyewe ndo style yangu hyo
  7. Nkwe2RG

    Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

    Mjomba AJ leo hajakumbuka kuchana nywele kabisa😃
  8. Nkwe2RG

    Je, ukiona jina la mwanao limeshamiri kutumiwa na makahaba sheria zinaruhusu kubadilisha?

    Utaratibu ninaoufahamu ni mtoto na mzazi/mlezi kufika kwa hakimu wa angalau Mahakama ya mwanzo kwa lengo la kula kiapo cha kubadilisha jina mkiwa na kadi ya clinic na/au cheti cha kuzaliwa vya mtoto. Baada ya hapo nadhani mtaenda RITA kubadilisha cheti cha kuzaliwa na baadae shuleni kwa mtoto...
  9. Nkwe2RG

    Je, ukiona jina la mwanao limeshamiri kutumiwa na makahaba sheria zinaruhusu kubadilisha?

    dmkali, Kuna familia moja mtoto wao alipewa jina la Fataki. Si unakumbuka ile kampeni ya anti-mafataki kwa vibinti vya shule. Dogo akawa anataniwa sana na watoto wenzie mtaani kwao na hasa p/school kwao. Dogo akakosa furaha, so ikabidi wambadilishie jina tu, no way. Kama imekuwa shida we...
  10. Nkwe2RG

    Songombingo ya urithi wa mirathi: Somo limesomeka

    Kipindi chake mtume Muhammad (pbuh) baadhi ya wasio waislam hasa wayahudi na wakristo (walianza kuitwa hivyo kule Antiokia) walimwomba awahukumie baadhi ya mambo yao. Mpaka Allah akashusha aya kwamba wao si ni wanajivunia Taurati, kiko wapi leo! Sasa kwenye maswala ya hukumu kama hizi za...
  11. Nkwe2RG

    Naomba kujua namna Islamic Banking inavyopata faida

    Mambo muhimu hasa kuhusu Islamic banking ni; 1. Uislam hauruhusu mkopo wa bidhaa fulani kwa marejesho ya mara dufu ya bidhaa hiyo hiyo. Mifano: mkopo wa fedha sh. 100 ili kurejesha sh. 150, au mkopo wa karanga ndoo 2 ili kurejesha karanga ndoo 3 hii ni haram ktk Islam. Ila kukopa printer ya sh...
  12. Nkwe2RG

    Je, ni halali mke arithi mali mumewe akitangulia?

    النساء (12) An-Nisaa Na fungu lenu ni nusu walicho acha wake zenu ikiwa hawana mtoto. Wakiwa na mtoto basi fungu lenu ni robo ya walicho acha, baada ya wasia waliyo usia au kulipa deni. Na wake zenu watapata robo ya mlicho kiacha, ikiwa hamna mtoto. Mkiwa mna mtoto basi sehemu yao ni thumni ya...
Back
Top Bottom