Ghana, Senegal na Ivory Coast zaondolewa CHAN

Kule West Africa kuna Mashindano ya mataifa yao wanayaita WAFU na kwa mwaka huu Final wamecheza GHANA v SENEGAL afu wote hawapo CHAN 2020! Inafikirisha!
 
naomba kujuzwa, Misri wametolewa pia au?? maana wachezaji wao wengi ni wa ndani
 
Duh! Algeria kabisa wametolewa :eek: maajabu haya 😀😀

unaelewa wachezaji gani wanaruhusiwa kucheza chan?

usije ukasema algeria ametolewa ukajua ni algeria iliyotwaa ubingwa ya kina riyad mahrez.

hujashangaa why starz imefuzu bila kumpanga samatta ? je kuna mshambuliaji tz anamzidi kiwango samatta asiitwe
 
Afadhali east africa angalau tunaonekana kidogo
Ilikuaga ni west africa na waarabu tu utadhani hayo mashindano ni kwaajili yao
Tutaonekana sababu ya mechi za kufuzu kuchezeshwa kikanda, hivyo lazima kila kanda itoe timu flani.
Hiindio siri ya Stars kufuzu AFCON na CHAN vinginevyo tusingefuzu karibuni hapa.

Subiri aibu matokeo ya timu za ukanda wetu zitakapokutana na vigogo huko CHAN hakuna tofauti na yaliyotukuta AFCON.

Nashangaa Karia na TFF wanasifiwa kufanya vizuri kiasi cha kuwezesha Stars kufuzu AFCON na CHAN!!!

Hivi lugha sahihi ni kufudhu AU kufuzu?
Sijui kiswahili sanifu.
 
Tutaonekana sababu ya mechi za kufuzu kuchezeshwa kikanda, hivyo lazima kila kanda itoe timu flani.
Hiindio siri ya Stars kufuzu AFCON na CHAN vinginevyo tusingefuzu karibuni hapa.

Subiri aibu matokeo ya timu za ukanda wetu zitakapokutana na vigogo huko CHAN hakuna tofauti na yaliyotukuta AFCON.

Nashangaa Karia na TFF wanasifiwa kufanya vizuri kiasi cha kuwezesha Stars kufuzu✔ AFCON na CHAN!!!

Hivi lugha sahihi ni kufudhu AU kufuzu?
Sijui kiswahili sanifu.
 
Back
Top Bottom